spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Mimi ukiumwa nna mamlaka ya kugusa mwili wako wote na sjakuoa usikaririNahisi bado akili yako haijakomaa kidogo
Kumbuka ukiumwa uyo uyo ndo atakusafisha na kukugusa kila corner ya mwili wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ukiumwa nna mamlaka ya kugusa mwili wako wote na sjakuoa usikaririNahisi bado akili yako haijakomaa kidogo
Kumbuka ukiumwa uyo uyo ndo atakusafisha na kukugusa kila corner ya mwili wako
Everybody is gangta till his wife walks in😂😂😂😂😂Sioni cha ajabu hapo, Hayo ni mambo ya kawaida kwenye ndoa, tena hayo mambo yanaonyesha ni jinsi gani mpo huru kwenye ndoa yenu, Sitosahau siku nilikua nagombania kunya mimi na mke wangu ikabid tuwekeane migongo tunye kwenye sink moja, that was amazing, kila nikimkumbusha mke wangu tunacheka anasema alikua amebanwa na mimi pia nilikua nimebanwa, halafu haya mambo hayafutiki akilini
Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Hawa watoto bana, hizi ndoa sijui wanaziingiliaje. Mke akijamba mbele yako au ukisikia tu unatakiwa kujibu Asante mama X...maana anakuonyesha kuwa umetimiza wajibu wako wa kutunza na kulisha familia. Baada ya hapo unashukuru Mungu.Eti jomoniii bebe..inavyonoga kumjambia hubby tena ule wa sauti afu akigeuka kukuangalia unajifanya kama humuoni vilee... ndio kwanzaaaaa unajinyoosha😂😂
Samaki mkunje angali mbichi bwashee na mtoto umleavyo ndivo akuavyo wewe ndo chanzo. Nayasema haya kwakua nimeshapitiwa na masahibu hayo hayo. Mke wangu alikua na mtindo huo huo wa kujamba hata kama nipo. Nilimpiga bit la nguvu na vitisho vya kutaka kumpeleka kwao ili akaseme kwa mamake sababu ya kurudiahwa kwao ila hadi leo hanifanyii ujinga ule. Akihisi haja tu anaondoka mbio labda limtoke. Ila mimi kujamba kama kawaida na ndicho alicho akitaka kushindana nami.Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Je ukimpata wa hivyo wewe itakuajeHahahahahahahahahahaha dah huyo ni jasiri anyway watakuja wenye wake.
Mkuu upo sahihi kabisa. Mtoa mada screenshot hii comment, print na upige lamination kisha hifadhi vizuri kabisa.Mkuu wife wako mshikilie huyo anakuamini sana na anakupenda pia...in short yupo wazi na honest haigizi maisha
Sasa mbona huo ni udikteta. Kwanini wewe utoe upepo mwenzako umkatazeSamaki mkunje angali mbichi bwashee na mtoto umleavyo ndivo akuavyo wewe ndo chanzo. Nayasema haya kwakua nimeshapitiwa na masahibu hayo hayo. Mke wangu alikua na mtindo huo huo wa kujamba hata kama nipo. Nilimpiga bit la nguvu na vitisho vya kutaka kumpeleka kwao ili akaseme kwa mamake sababu ya kurudiahwa kwao ila hadi leo hanifanyii ujinga ule. Akihisi haja tu anaondoka mbio labda limtoke. Ila mimi kujamba kama kawaida na ndicho alicho akitaka kushindana nami.
Huo ndo uanaume utashindana vipi na mke wako kwa mambo ya ajabu.Sasa mbona huo ni udikteta. Kwanini wewe utoe upepo mwenzako umkataze
😊😊😊😊 Mbona sioni kama ni tatizo Mkuu?Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Sioni cha ajabu hapo, Hayo ni mambo ya kawaida kwenye ndoa, tena hayo mambo yanaonyesha ni jinsi gani mpo huru kwenye ndoa yenu, Sitosahau siku nilikua nagombania kunya mimi na mke wangu ikabid tuwekeane migongo tunye kwenye sink moja, that was amazing, kila nikimkumbusha mke wangu tunacheka anasema alikua amebanwa na mimi pia nilikua nimebanwa, halafu haya mambo hayafutiki akilini
😀😀Alaah..Wamama wa zamani tanga Mme akiingia chooni kutoa haja kubwa wanakuwa na kisosi kabisa cha kuwekea pumbu ili Mme ajisaidie vizuri na baada ya hapo anatawazwa, sasa waume na wake wa sikuhizi huwezi kuta wakifanya hayo, huwa kasema tanga jinsia zote zinajua mapenzi, wasichana tafuteni wanaume wa tanga na iringa au njombe huwa wana mapenzi ya kweli haswa
Jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
gari ganiHahaha nimecheka kwa sauti kwenye gari
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mambo zenu wakuu?