Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Wakolosai 3:21 BHN
Nanyi wazazi, msiwachukize watoto wenu, la sivyo watakata tamaa
Inaonekana hao Wakolosai walikua wanoma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakolosai 3:21 BHN
Nanyi wazazi, msiwachukize watoto wenu, la sivyo watakata tamaa
Asee we kweli kivumishi kieleziAnajambaje hovyo hovyo au unamfiraga?
Nakujibu kabla sijaangalia maoni ya wadau hapo chini, nisije badili mawazo yanguMambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Hana marinda huyoAnajambaje hovyo hovyo au unamfiraga?
Yaani mpaka akikuangalia haamini maana sura yako haifananii na harufu ya ushuzi uliotoaEti jomoniii bebe..inavyonoga kumjambia hubby tena ule wa sauti afu akigeuka kukuangalia unajifanya kama humuoni vilee... ndio kwanzaaaaa unajinyoosha[emoji23][emoji23]
Mimi kujambiana na make wangu ni kawaida tu, ila upande wa haja(hasa kubwa) hapo bado, labda kwa sababu ya mazingira.Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
HahahahaaaUwwii,.unashangaa kujisaidia haja kubwa tena mkeo, lol me ndo naharisha kabisaa mbele yake labda nisibanwe,nichanike msamba nini,kisa kujibana?? Woiii
HahahahahaaaaaaEti jomoniii bebe..inavyonoga kumjambia hubby tena ule wa sauti afu akigeuka kukuangalia unajifanya kama humuoni vilee... ndio kwanzaaaaa unajinyoosha[emoji23][emoji23]
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
.
Kaah!Yani kwa Mimi hapo angehalibu kwa asilimia kubwa psychology yangu,hata hamu ya kufanya nae tendo la ndoa ingeshuka au nikaacha kabisa,Staha Ni kitu Cha msingi Sana kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23]Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Vitu vya kawaida , kama asiposhindwa kunya mbele yako akanye wapi ?Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Hakuna la ajabu hapo,kunya wewe unaiga ni sawa tu,kujamba na wewe upo pia sawa tu,huyo ndio mwenza wako kwenye maishaMambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Nahisi bado akili yako haijakomaa kidogoKama ukioa ndo mke anatita mbele yangu hapana aisee sitaoa yani akate go go mbele yangu ishu si kinyaa ishu ni staha hua napata ukakasi hata kutazamana na watu wakiwa uchi ilhali mm nmevaa nguo