KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kujisaidia sio ajabuSasa hapo cha ajabu nini?
Kujisaidia au kujisaidia mbele yake.
Hayo ndo mahaba
Il mbele ya mwenzio ndo ajabu hasa haja kubwa..ndogo sio issue
mahaba gani kusikiza harufu mbaya?
wengine u flush as soon as u poop na kupuliza air freshener kabla mwenzio hajatumia...ni ustaarabu wa kibinadamu tu
unawezaje jisaidia mbele ya mtu?.!