Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

yaaani ukiondoa stress za siasa yaliyobaki yote ni burudani tu nimecheka kama chizi comment za humu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
mbona anakufanyia mambo yanayohusu kinyeo tu itakuwa anawashwa
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Likely a MENTAL ISSUE. This is not normal.
 
Back
Top Bottom