Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

[emoji23] nimekumbuka kavideo fulani hivi mahusiano yakiwa mapya jamaa alikua anaona hiyo hali n kawaida na aliifurahia ila baada ya muda kupita alianza kuona kero. Inawezekana na kwako ilikuwa hivi hivi then gari limechanganya mwendo imegeuka kero.
 
Yani katika kitu sipend maishan kwangu ni kupishana na madem chooni! Yani kwanza nikiona dem katoka tu chooni namkinai mazima!! Af kuna midemu eti inashadadia kwamba ni kitu kizuri! Yani uje uharishe mbele yangu af et kesho nikutombe😤😤,,Sio kila kitu unatakiwa ukione au ukijue kutoka kwa mpenz wako, vingine inapendeza usipoviona kabisa!! Kuchokana kunasababishwa na vitu vidogovidogo kama hivi!!
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Ndio nyie unamke mnaishi chumba kimoja na master yake ukiingia chooni unafunga mlango na stoper

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee nadhani wataalamu wa saikolojia ndiyo wanaweza kutoa mwongozo hapa, kwa upande mmoja unaona ni kawaida tu ila kutokana na social structure yetu tuliyokulia inaonekana ni kituko.........binafsi naona mazingira tuliyokulia ndiyo yametushape kuona hivyo cos huko vijijini tulikokulia,na vyoo vya shimo kinakuwa nusu kilometre toka home na mtu huyohuyo anakuwa na chumba kimoja kina huduma zote, likitokea hilo lazima ashangae...........
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.

Ukisikia maana ya mtu kuwa huru ndio hii na mimi sio kama ni shida yake naona kama shida iko kwako zaidi!

Kwa mwanamke hiyo ni hatua kubwa kabisa ya kumuamini mtu na kuweka makazi kwake
 
Back
Top Bottom