Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
unashangaa kuona anajisaidia mbele yako, kwani ni mara yako ya kwanza kuona tigo yake, akiwa chuma mboga tigo huwa anaficha na taulo? au huwa mnafanya gizani siku zote? na kujamba, inawezekana haujawahi kumkunja akakunjika hadi kujamba ndio maana kijambo chake unaona ni cha ajabu. we ni mshamba sana aisee. hujui kuna siku hapo utaugua halafu yeye ndiye atashika tibo yako akupanguze haja? ninyi si mwili mmoja?
 
Ndio maana ya mwili mmoja hiyo,hakuna Cha ajabuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ndio ndoa hiyo vumilia hata siku akikushika kalio akasema "honey una wowo laini Kama yangu " wewe tabasam tu mwambie AsanteπŸ˜‚πŸ˜‚
 
In animal kingdoms mnyama hua vulnerable muda anaoenda haja (iwe kubwa au ndogo) na wengine huifukia (Paka) kuifukia huashiria yeye siyo dominant eneo hilo na hataki kukutwa na dominant.

Mbwa hua hafukii kwakua anajua hata mwenye territory akija mmiliki wake yupo ili kumtetea.

But your woman does both? What does that tell you?

Anakuamini, anatarajia umlinde. Dunia yetu ilipo kumlinda mtu wako inajumuisha kuexpose (kwa njia ya kuuliza) info na vitu kama hivi. Nafikiri hata mchepuko wako ana taarifa nyingi za mkeo.
 
Kimbunga Jobo kikikutana na Habari kama hizi lazma kighairi. Hapa ndo bongo.... Kwa maelezo zaidi muulize corona anatujua
 
Tabia ya hovyo
Si umwambie mwenzio i rly need to use the toilet then uendelee mwenyewe.,
 
Mbona kawaida tu hiyo mkuu asipofanya kwako akafanye kwa nani lazima ajiachie kwako
Halafu mnakuja kusema ohhh mume wangu hana nguvu za kiume, mwanamke lazima uwe romantic hata kama mumeo mambo mengine ni private bidhaa lazima iwe well packed hata mteja anakuwa na hamu nayo sasa ukijiachia kupitiliza inakuja kuwa hakuna jipya kwa mume atakuja kukuona kama mmasai hivi. mke vaa vizuri kwa mumeo vitu vingine mfichie mpaka anakuwa na hamu na wewe. Hii ni chanzo kimoja wapo cha nguvu za kiume kupungua.
 
Akija kutoka nje anatamani vilivyofungwa vizuri maana vyako umevianika mpaka anaona kama kaona kivuli tu kinatembea uchi. play game mume kila siku akuone kama anataka kutongoza upya.
 
Wewe ndio hauna aibu kwa kumwangalia mkeo akiwa uchi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ke akifikia hapa ujue anakupenda sana na amekutrust na maisha yake ndomana si ajabu kujiachia hivi

Kingsmann
Alafu hiyo , kizungu ndiyo inaitwa, "love chemistry".....!

LOVE CHEMISTRY
Ni hali ya kupendana na kuwa wazi kwa kila mmoja wenu, au kuaminiana kwa kila jambo katika mahusiano yenu ya kindoa au kimapenzi.
Hakuna tofauti sana na wale wanaofikia hata kunyonyana sehemu za siri ikiwepo ," Tigo"....
Mkifika kwenye kiwango cha LOVE CHEMISTRY, basi maisha yenu ya ndoa ujue ni matamu ni paradiso.
Kwahiyo mke au mume kujisaidia haja kubwa mbele ya macho ya mwenzi wake ni jambo la kawaida kwa wale wenye mapenzi ya dhati.
Hata kujamba mbele ya mwenzi wako ni jambo la kawaida mbele kwa wenye mapenzi ya dhati( kweli).
MUNGU atusaidie tuwe na wake na waume waaminifu kwenye ndoa na mapenzi ya dhati.
 
Back
Top Bottom