Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
Sioni cha ajabu hapo, Hayo ni mambo ya kawaida kwenye ndoa, tena hayo mambo yanaonyesha ni jinsi gani mpo huru kwenye ndoa yenu, Sitosahau siku nilikua nagombania kunya mimi na mke wangu ikabid tuwekeane migongo tunye kwenye sink moja, that was amazing, kila nikimkumbusha mke wangu tunacheka anasema alikua amebanwa na mimi pia nilikua nimebanwa, halafu haya mambo hayafutiki akilini