Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Sijaona kosa la mke wako labda umetaka tu kutufurahisha ila ni mambo ya kawaida sana na yapo kwenye ndoa nyingi.
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Nakujibu kabla sijaangalia maoni ya wadau hapo chini, nisije badili mawazo yangu

Mm sijaoa ila sioni cha ajabu hapo, kwangu ni kawaida kabisa, sasa wewe ambae umeunganishwa na huyo mwanamke sijui why unashangaa

Kajamba mbele yako, unapaswa umwambie pole au sio wewe mke wangu nimejamba mm its fun you know, sio kuwa serious

Yeye anajua you guys are one ndio maana anashusha mzigo mbele yako

Take it easy brou, have fun be happy
 
Eti jomoniii bebe..inavyonoga kumjambia hubby tena ule wa sauti afu akigeuka kukuangalia unajifanya kama humuoni vilee... ndio kwanzaaaaa unajinyoosha[emoji23][emoji23]
Yaani mpaka akikuangalia haamini maana sura yako haifananii na harufu ya ushuzi uliotoa
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Mimi kujambiana na make wangu ni kawaida tu, ila upande wa haja(hasa kubwa) hapo bado, labda kwa sababu ya mazingira.
 
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
.

Yaani napenda mwanamke kama huyo, ningekuwa mimi hapo hapo ningemdaka na kuanza kumtindua..."sail on the same boat with her"...akifanya kitu cha ajabu nawe mfanyie cha ajabu zaidi ili ajue mnaendana, hapo atakupenda zaidi
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Kaah!Yani kwa Mimi hapo angehalibu kwa asilimia kubwa psychology yangu,hata hamu ya kufanya nae tendo la ndoa ingeshuka au nikaacha kabisa,Staha Ni kitu Cha msingi Sana kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Vitu vya kawaida , kama asiposhindwa kunya mbele yako akanye wapi ?
 
kaa kimya mkuu wasikusikie maana kuna wahuni wanapenda hivyo
kwao nikama manukato
 
Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Hakuna la ajabu hapo,kunya wewe unaiga ni sawa tu,kujamba na wewe upo pia sawa tu,huyo ndio mwenza wako kwenye maisha
 
Kama ukioa ndo mke anatita mbele yangu hapana aisee sitaoa yani akate go go mbele yangu ishu si kinyaa ishu ni staha hua napata ukakasi hata kutazamana na watu wakiwa uchi ilhali mm nmevaa nguo
Nahisi bado akili yako haijakomaa kidogo

Kumbuka ukiumwa uyo uyo ndo atakusafisha na kukugusa kila corner ya mwili wako
 
Back
Top Bottom