Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.