Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan’
 
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'
Duh kweli humu kuna machalii , Leo ndio mnamjua Monica?
Old school men kama sisi tulioruka majoka tumeshazicheza ngoma zake za kiutu uzima
 
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'
Ivorian and not Congolese!
 
Back
Top Bottom