Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

hivi nani kaimba huu wimbo siujui jina ila unaimbwa hv... aye naleliyo ooh, mayo nabilio ooh km sijakosea, hv nani kaimba? na wimbo unaitwaje?
 
Akiwa mdogo alikuwa mzuri sana Madiluu, Kanda bongoman, Ausi Mabele na waimbaji wakongwe wa Tanzania na matajiri wa Congo kipindi hicho walipata tabu sana kwa huyu kimwana wa '' Nakei Nairobi'' na ''Nadina''
Namba 3 hapo ndio number 1, alikuwa vizuri kila idara hadi Chura alikuwepo wa haja
 
Namba 3 hapo ndio number 1, alikuwa vizuri kila idara hadi Chura alikuwepo wa haja
Anamfikia Tshala Muana? Anayezeeka na Uzuri wake wa sura na sauti.
View attachment 1221112
images%20(25).jpeg
 
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'
Hapa tuko pamoja nakubaliana nawewe.
Huyo ni Mu Ivory coast sio mkongo
 
Back
Top Bottom