Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

Ni kweli Monica ni mkali lakini Brenda Fassie ndio malkia wa muziki barani Africa
 
Ni kweli Monica ni mkali lakini Brenda Fassie ndio malkia wa muziki barani Africa
Brenda fassie alipokuja bongo alifikia sea cliff hotel, wakati huo mm nlikuwa napiga Kazi pale ya kuwabebea wageni mizigo
Kuna siku wakati anatoka hotel Kuna jamaa alimkimbilia kumuomba tip, Brenda akampa jamaa kipisi cha bangi mkononi.... [emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kcheck mkononi alijua Hela kmbe bangi, dem alikuwa amepinda
Ulizaa kilichofuata??????

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] nini kilitokea?
 
[emoji23][emoji23] nini kilitokea?
Nikinglia mchongo tukamtafutia skanka tukampa
Nakumbuka akatupa $20... Nkageuza dili Nkampa tena akatutoa $30 nlikuwa Nampa skanka za maana
Ah basi akakubali flag Kuna siku hatukuingia mzigoni si akatuulizia "kwa manager wkt huo alikuwa kaburu moja anaitwa Kevin stander" kosa alilofanya
Kuwafata wabongo pale kuulizia khsu sisi akawambia
Kuna jamaa nmewaelewa sana wanaonekana wa janjajanja na Mimi ntaendana nao, wabongo kama kawaida wakafikisha kwa manager kuwa tunampaga mazaga ah tukalimwa warning tusimsogele[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchongo ukafaaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'
________________________________
IG: @marble_na_granite
Nadhani.. hujamsikia " Um Kulthoum wa Misri "
 
Monika Seka BEST? Sijui, bali nitasema kwa moyo wangu Diva Barbara Kanam ni habari nyingine especially pale anapochanganya na kiswahili cha DRC.
 
Nawajua wasanii wengi wa kike Africa ila niamini Mimi Monique seka ana uwezo mkubwa saana kimuziki.
 
Back
Top Bottom