Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

Brenda alijua but kama tukiwa wasema kweli Wapenzi wa Mungu.
Mbilia Bell(Nairobiii iii Mombasaaa Nakuru Kisumu .....
Leo hii haya Ni yako,unikane Mimi bado nawe mabwana wananitamani Mimi sitaki,tokea tangu zamani Baba hujanipatia kitu,
Tshala Muana(Unapenda Dezo dezo we bwana we umetuchochaaaaa(kiswahili cha Congo)
Yvonne chakachaka(Every woman need a Man! To hold on all night long...Every woman...n.k
Brenda Fassie was the Queen of all them.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] dogo tuachie sisi watu wazima hizo nyimbo

Huyo bila shaka ni mwanamama mwenye miaka yake 60 kwa sasa ila ni kama ana miaka 25, bibie Marie Claire Mboyo Moseka au kwa jina maarufu Mamaa Mbilia Bel
hivi nani kaimba huu wimbo siujui jina ila unaimbwa hv... aye naleliyo ooh, mayo nabilio ooh km sijakosea, hv nani kaimba? na wimbo unaitwaje?
 
Nipo hapa MADSON SQUARE ukumbi umelipuka
Ludacris akifanya yake.

Yuko wapi dogo Justin Beiber?
 
Halafu kwa kweli nyimbo hizo za zamani
Waliokuwa wanazifanyia mastering walikuwa ni vyuma kweli kweli sio siri
Yaani sound inanskika vizuri ,beat imekaa kwenye mizani sawia.kama hiyo okaman ya Monique.
Mario ya tshala muana.
Transparent ya sam mangwana
 
Duh kweli humu kuna machalii , Leo ndio mnamjua Monica?
Old school men kama sisi tulioruka majoka tumeshazicheza ngoma zake za kiutu uzima
Noma sana alikuwa anaimba sana huyo mama

Ila kwangu mimi Yvonne chaka chaka .yondo sister .monica seka . brenda fassie .hao ndio wanawake waliofaulu kuuteka moyo wangu katika tasnia ya music wa africa
 
Brenda alijua but kama tukiwa wasema kweli Wapenzi wa Mungu.
Mbilia Bell(Nairobiii iii Mombasaaa Nakuru Kisumu .....
Leo hii haya Ni yako,unikane Mimi bado nawe mabwana wananitamani Mimi sitaki,tokea tangu zamani Baba hujanipatia kitu,
Tshala Muana(Unapenda Dezo dezo we bwana we umetuchochaaaaa(kiswahili cha Congo)
Yvonne chakachaka(Every woman need a Man! To hold on all night long...Every woman...n.k
Vyonne chaka chaka ngoma zake karibia zote ni kali tena balaaa

Ukianzia umkombothi na nyinginezo nyingi yaani alikuwa ni hatari
 
Huyo Monika hakuwahi kupiga picha?
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'
________________________________
IG: @marble_na_granite
 
[emoji346][emoji346]okmani dudu okmani oh yeye[emoji346][emoji346]
[emoji346][emoji346]okmani dudu okmani oh yeye[emoji346][emoji346]
afu beat linaachiwa kidogo
haha african oldies bhna[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mi sijui kama kuna wimbo mkali kama huu kwa upande wa kina dada, aisee kwangu ni best song
 
Halafu kwa kweli nyimbo hizo za zamani
Waliokuwa wanazifanyia mastering walikuwa ni vyuma kweli kweli sio siri
Yaani sound inanskika vizuri ,beat imekaa kwenye mizani sawia.kama hiyo okaman ya Monique.
Mario ya tshala muana.
Transparent ya sam mangwana
dj tupia hizo audio
 
Back
Top Bottom