FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
We si ndo ulileta nyodo..... Tangu hapo sikumsikia tenaDa jo hana mpinzani
Aisee...Mimi kwangu namba1 hadi 3 anashikilia Yvonne Chakachaka then wanafuata wengine
Duh kweli humu kuna machalii , Leo ndio mnamjua Monica?Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'
Ivorian and not Congolese!Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'