Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

hivi nani kaimba huu wimbo siujui jina ila unaimbwa hv... aye naleliyo ooh, mayo nabilio ooh km sijakosea, hv nani kaimba? na wimbo unaitwaje?
 
Akiwa mdogo alikuwa mzuri sana Madiluu, Kanda bongoman, Ausi Mabele na waimbaji wakongwe wa Tanzania na matajiri wa Congo kipindi hicho walipata tabu sana kwa huyu kimwana wa '' Nakei Nairobi'' na ''Nadina''
Namba 3 hapo ndio number 1, alikuwa vizuri kila idara hadi Chura alikuwepo wa haja
 
Hapa tuko pamoja nakubaliana nawewe.
Huyo ni Mu Ivory coast sio mkongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…