Brenda Fassie was the Queen of all them.
hivi nani kaimba huu wimbo siujui jina ila unaimbwa hv... aye naleliyo ooh, mayo nabilio ooh km sijakosea, hv nani kaimba? na wimbo unaitwaje?
Noma sana alikuwa anaimba sana huyo mamaDuh kweli humu kuna machalii , Leo ndio mnamjua Monica?
Old school men kama sisi tulioruka majoka tumeshazicheza ngoma zake za kiutu uzima
Vyonne chaka chaka ngoma zake karibia zote ni kali tena balaaaBrenda alijua but kama tukiwa wasema kweli Wapenzi wa Mungu.
Mbilia Bell(Nairobiii iii Mombasaaa Nakuru Kisumu .....
Leo hii haya Ni yako,unikane Mimi bado nawe mabwana wananitamani Mimi sitaki,tokea tangu zamani Baba hujanipatia kitu,
Tshala Muana(Unapenda Dezo dezo we bwana we umetuchochaaaaa(kiswahili cha Congo)
Yvonne chakachaka(Every woman need a Man! To hold on all night long...Every woman...n.k
Nipo hapa MADSON SQUARE ukumbi umelipuka
Ludacris akifanya yake.
Yuko wapi dogo Justin Beiber?
Why?Dah!
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye demin' , 'Okaman' , 'Baye' , 'Missounwa' , 'Chilenku' , 'Adeba' , 'Amlan'
________________________________
IG: @marble_na_granite
Mkuu nimeona umeleta mwamba wa mambele hukoWhy?
mi sijui kama kuna wimbo mkali kama huu kwa upande wa kina dada, aisee kwangu ni best song[emoji346][emoji346]okmani dudu okmani oh yeye[emoji346][emoji346]
[emoji346][emoji346]okmani dudu okmani oh yeye[emoji346][emoji346]
afu beat linaachiwa kidogo
haha african oldies bhna[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Aiseee hapa kutambua kazi sanaaa
we umepotea njiaNipo hapa MADSON SQUARE ukumbi umelipuka
Ludacris akifanya yake.
Yuko wapi dogo Justin Beiber?
dj tupia hizo audioHalafu kwa kweli nyimbo hizo za zamani
Waliokuwa wanazifanyia mastering walikuwa ni vyuma kweli kweli sio siri
Yaani sound inanskika vizuri ,beat imekaa kwenye mizani sawia.kama hiyo okaman ya Monique.
Mario ya tshala muana.
Transparent ya sam mangwana
tunamjua mkuuIna maana wote hamhmjui Lady Jaydee??
Dogo aliibuka kinyamaMkuu nimeona umeleta mwamba wa mambele huko