Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

Gitaa linapigwa hadi wimbo hauchoshi ukisikiliza nyimba za kizazi kipya wenye kiswahili kabisa na ukasikiliza nyimbo zao zenye lugha ya kifaransa na zingine unatamani kisa upigaji gitaa hata kama huelewi lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…