Kuna ushahidi mwingine zaidi ya huu?Kwa sisi wataalamu wa ramli chonganishi,iko hivi leo kwenye uzinduzi wa bwawa la kufua umene lililojengwa na Hayati Magufuli, high table walikua wamekaa Samia na Nchimbi..Nchimbi akawa anajifanya kumchekesha Samia kinafiki ila Samia akawa hana muda nae kivile..
So naamini ni kweli hawa viongozi wawili hawako sawa kimahusiano.
Mkuu ambatanisha hata na short video clipKwa sisi wataalamu wa ramli chonganishi,iko hivi leo kwenye uzinduzi wa bwawa la kufua umene lililojengwa na Hayati Magufuli, high table walikua wamekaa Samia na Nchimbi..Nchimbi akawa anajifanya kumchekesha Samia kinafiki ila Samia akawa hana muda nae kivile..
So naamini ni kweli hawa viongozi wawili hawako sawa kimahusiano.
TimingSasa kama hawaivi si amuue ijulikane moja anasubiri nini?
Waandishinwanajisahau sana. Hili gazeti litakuja kupotea.Wewe unafikiri mwandishi wa gazeti hili anapata nguvu wapi??Umesahau yale ya Musiba?? Hakuna chombo chochote cha habari kinaweza kumbagaza makamu kama hivi bila kupata baraka kutoka kwa mkuu wake...Haiwezekani mwandishi apate kiburi kutoka kwenye mamlaka iliyo chini ya Makamu wa raisi
View attachment 3655183
Watu huwa hawana akiba ya maneno na hawawazi mbeleni hiyo ndiyo shida kubwa , wanajisahau nawaza tu mara mkubwa puuu! Maana yake huyo wanaye mbagaza ndiye mshika mpini ajaye kikatiba, je? Watajifichaje labda ! Watu hawajifunzi kwa yule bwana aliye kuwa mkuu wa wilaya HAI zama za jiwe alivyo lia kama mtoto baada ya bosi wake kuanguka puu!Wewe unafikiri mwandishi wa gazeti hili anapata nguvu wapi??Umesahau yale ya Musiba?? Hakuna chombo chochote cha habari kinaweza kumbagaza makamu kama hivi bila kupata baraka kutoka kwa mkuu wake...Haiwezekani mwandishi apate kiburi kutoka kwenye mamlaka iliyo chini ya Makamu wa raisi
View attachment 3655183