Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kwamba kama anawapa interview flani hivi 😂😂😂Tatzo lako mtoa mada
unakua serious sn unapotafuta MKE,
Yaan unatafta MKE umekamia kwelikweli[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kama anawapa interview flani hivi 😂😂😂Tatzo lako mtoa mada
unakua serious sn unapotafuta MKE,
Yaan unatafta MKE umekamia kwelikweli[emoji4]
Legend🙌Mtoa mada inaonekana mazingira uliyokulia na mazingira unayotaftia MKE Ni vitu viwili tofauti ndo maana kila unapogusa unakutana na surprise.
Wenzio tushazoea,
Wanawake wa kila Aina tumepita nao
-ukikutana na mdangaji
unahonga kidg kisha unapita naye, unasuuza nafsi yako Kisha unapita hivi
-wapenda sigara na bangi,pombe
Unampa sigara na pombe, unamix ugolo kidg akilewa unakula unapita hivi
-wenye viburi na dharau
Hatujali tunawanyoosha tunaishi nao
-threessome, orgy, zote tumepitia
MWISHO wa siku utakutana na wa ukweli utapita naye Kama ulivozoea,utagundua Ni watofauti Sana.
Kwaiyo utashangaa ndo umenasa mazima,umeoa kimasihara[emoji4][emoji1431]
Hapa bado unamvuta kwa mob psychology. Makuzi ndio hudetermine mtu atakavyokuwa. Nakuapia hata nipitie changamoto gani huwezi nibadilisha in anyways maana ndivyo nilivyo na ndivyo lelewa. Mnasema bad boys ila watu hawafanani, ukiona umenyooka ila ukapinda ghafla basi jua umebadilika somewhere na kama mwanamke ndio sababu basi it's the most weakest mindset in the world.Nasema atakusumbua sababu Wanawake always wanadata na BAD-BOYS, iwe kwa ndoa au mahusiano.
Sasa wee mtoa mada umenyooka straight kabisa huna makando kando yyt, na Tena unajisifia sijui
-sijawai kunyaa pombe
-Sijawai kula tigo
-demu anapenda Ela (uhongi/bahili)
Hii ni kasoro,
Mwaanume kua husband material na kuamua kuoa, muhimu upitie pitie purukushan za ujana zikushape vizur.
ungemuoa huyo aliyekuomba tigoNi mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6.
Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.
Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida kwake kulewa Hadi kujikuta ameopolewa na wanaume Wengine. Mimi siyo mnywaji kabisaa. Nilipomkanya akanuna mazima.
Wa pili alikuwa mjasiriamali. Katika kipindi cha wiki mbili za Mahusiano kashakula laki 7 yangu na bado anananipa Bill ndefu. Nikajiengua kimya kimya.
Wa tatu alikuwa Ni mtu wa nyanda za juu kusini. Kosa lake ni lugha ya dharau. Mara kwa mara alikuwa ananisonya(huwa sipendi kusonywa). Mara ya mwisho alinisonya na kuniambia " kaone haka nako kajinga", nikaona huu Ujinga. Niliwasha makonzi ya utosini, Nikaamua kumfukuza usiku wa manane.
Wa nne alikuwa ananiomba nimle tigo nikamuambia siwezi, akaamua mwenyewe kuniacha.
Wa tano nilimuacha mwezi huu baada ya mama yake mzazi kunitaka kimapenzi. Nikaona Mtoto wa kahaba hawezi kuwa mama wa watoto wangu.
Nadhani Sasa nikubali tu yaishe.
Inaweza tokea Mkuu, wewe mwenyewe inawezekana umezungukwa na raia wa ajabu sana sema ni hujataka kuwafahamu vizuri. Utashtuka.Shida iko kwako wewe inaonekana ndio mtu wa hivyo au inatokana na haiba yako ndio inasababisha uvutie wanawake wa hovyo japo wewe unaweza ukawa normal kabisa ila jinsi unavyo behave na mtazamo wako kuhusu mapenzi na wanawake ndio inakuletea wanawake wa hivyo
Huwezi kuwa mwanaume mwenye kusimamia maadili na upo makini na maisha yako ukapata wanawake wa hovyo ngumu sana hata wanawake wenyewe watabehave kutokana na misimamo yako hata kama wanaudhaifu
Watu wengi hulalamika kukutana na watu wa hovyo bila kujua tabia na mitazamo yao ndio huwavutia watu wa namna hiyo wala sio kwamba watu wote ni hawana maadili na utu ,watu wanaojua maadili wapo wengi tu ila shida uwezi kwapata kwa sababu hamshabiani nao kimtazamo wa maisha
Happy new year in advance ma mdogo. Inshallah tutavuka salama. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Heaven Sent Happy new year in advance, i hope tutavuka! [emoji28]
Mic u mama maleziiiiiiii, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Happy new year in advance ma mdogo. Inshallah tutavuka salama. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Miss you too cha utundu 🥰🥰🥰🥰Mic u mama maleziiiiiiii, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kazaliwa magomeniSiku hizi wa kijijini nao wameshaharibika Ni sawa na Hawa matapeli wa mjini tu
Kasomeee ubuyuuuu kuleeee, mjini kumelipukaaaaaa.Miss you too cha utundu [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Chai ya nyokweMhhhh chai tupu
Mashoga wanatafuta Nini hapa?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dear hebu sema kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app