Nadhani nimekosa mke wa kuoa

LegendπŸ™Œ
 
Hapa bado unamvuta kwa mob psychology. Makuzi ndio hudetermine mtu atakavyokuwa. Nakuapia hata nipitie changamoto gani huwezi nibadilisha in anyways maana ndivyo nilivyo na ndivyo lelewa. Mnasema bad boys ila watu hawafanani, ukiona umenyooka ila ukapinda ghafla basi jua umebadilika somewhere na kama mwanamke ndio sababu basi it's the most weakest mindset in the world.
 
ungemuoa huyo aliyekuomba tigo
 
Mpaka sasa hakuna aliyeomba namba za wanne na watano... kweli huu uzi umechangiwa na ma Bro πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaweza tokea Mkuu, wewe mwenyewe inawezekana umezungukwa na raia wa ajabu sana sema ni hujataka kuwafahamu vizuri. Utashtuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…