Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 2,278
- 3,960
hii chai bdo haijakauka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii chai bdo haijakauka
Hii iliwahi mtokea mume wangu mpaka nilianzisha timbwili nikimtuhumu kuwa na mwanamke mwingineWadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu.
Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa zima.simalizi. so mwenzi anaomba twende mapumziko. Au nikimaliza goal la kwanza.
Round ya pili nitapata hamu mashine inasimama vizuri kabisa. But kumaliza inakuwa issue. Mara nyingi tunaishia kughairi. Maana sasa mwenza anakuwa amechoka, so tunaamua kuachia hapo. Mimi nabaki na maumivu sababu mashine inakuwa inauma. Ila sipati hisia za kumaliza. Najiuliza shida ni nini?
Sababu lengo la huu mchezo ni kufika mshindo kama mtu hufiki...inapoteza raha. Leo mwenzangu kamaliza mara 5. Mimi mara moja. Tena bao la kwanza nimelitafuta kwa almost dk 40.
Bao la pili tumejaribu two times mwenzangu anamaliza mimi simalizi. Mwishowe mtu anakwambia unafanya kumkomoa. Kitu ambacho siamini katika hicho. Napenda ku enjoy tendo na mwenzangu.
Huu ni mwezi wa nne sasa nimejaribu hata kubadilisha mwenza (kuchepuka) bado nakuwa vile vile. Namaliza bao la kwanza kwa kuvuta sana hisia. Na umalizaje wake hauwi kamilifu yaani kama nusu. Na mashine inabaki imesimama. Si enjoy kwa kweli.ile raha ya **** mpaka unapata usingizi sina kwa kweli.
Sasa nmeona niweze share nanyi sababu nlikuwa naona nikisema hili wengine wanaweza kuja na hoja za kipuuzi. Sihitaji kujipigia debe kipuuzi/kipumbavu hivi. Nina maisha yangu ambayo yenyewe tu nayaamini.
Naombeni msaada. Je inaweza kuwa ni vyakula ,ugonjwa au tatizo la kisaikolojia. Nifanye nini? Ushauri please.
Watoto wadogo hawaelewi ndo maana wanakimbilia kupost upuuzi. Mwishowe ilikuaje? Aliondokana vipi na hali hiyo?Hii iliwahi mtokea mume wangu mpaka nilianzisha timbwili nikimtuhumu kuwa na mwanamke mwingine
Mwanamke ni Mgumu sana kufika kileleni kuliko Mwanaume. hasa kuanzia Bao la 3+, Sasa umesema Mwanamke kafika Bao 5.. wewe ndio kwanza una Bao 1 ambalo umelipata ndan ya dk 40.Sababu lengo la huu mchezo ni kufika mshindo kama mtu hufiki...inapoteza raha. Leo mwenzangu kamaliza mara 5. Mimi mara moja. Tena bao la kwanza nimelitafuta kwa almost dk 40.
Iliisha tu yenyewe nadhan ilikuw pressure ya tendo maana tulikuwa hatujaonana for almost 3 monthsWatoto wadogo hawaelewi ndo maana wanakimbilia kupost upuuzi. Mwishowe ilikuaje? Aliondokana vipi na hali hiyo?
Pole sana. Ungekuwa na umri flani ungegundua. Mwanamke anaweza fika kileleni hata ndani ya dk 2. Provided ana hisia, anakupenda. Ile akili ya kudhani kupiga sana mashine ndo mwanamke anapenda ukiuliza wanawake ambao ni decent wa kawaida au si malaya watakwambia. Hata uume ukiwa urefu wa kidole wanafika kileleni tena ndani ya dk moja. Na anaweza fika tena na tena.Mwanamke ni Mgumu sana kufika kileleni kuliko Mwanaume. hasa kuanzia Bao la 3+, Sasa umesema Mwanamke kafika Bao 5.. wewe ndio kwanza una Bao 1 ambalo umelipata ndan ya dk 40.
swali huyo mwanamke alikuwa anaenda Bao moja kila baada ya dakika 7?
Naomba niongezee kijiko kimoja cha Sukari..
Ahsante.
Mkuu. Wewe upo smart sana. Nafurahi bado kuna watu wachache wenye uelewa na akili kama wewe JF. Kegel nimekuwa nikifanya na pia hiyo ya kubana hata bao lisitoke nimekuwa nikifanya. Na ni kweli ukitia nje ukarudisha au ukakojoa kidogo.. mashine kuja kupata hisia za kumaliza si leo. Inabaki imesimama ila you dont feel anything. Unaweza tumia hata dk 30 mpaka saa zima.Unaweza kua ugongwa ama tatizo lakini sina uhakika nalo sana pengine ni hali ya kawaida maana hali kama io iliwahi nitokea na inakua kero balaa nilikuja kujua dk 10 mpaka 20 zinatosha kabisa kwa bao moja.
Nilipojichunguza sana chanzo ilikua kuzuia bao la kwanza kwa kutaka kukaa muda mrefu juu ya mwanamke, na ili nikae muda mrefu nakua nikitaka kumwaga natoa hisia kama sifanyi kitu hivyo nalizuia lisitoke.
La pili kufanya mazoezi ya kegeli, huo mtindo wa kukojoa huku unabana mkojo sekunde kadhaa tena unauachia ukiwa unarudia rudia mpaka uishe, hivyo basi ukiwa na pisi ikatokea unampelekea moto ghafla uume ukachomoka pale utakapo urudisha sahau kumwaga maana akili inakua umeizoesha kua hutaki kumwaga.
Jambo la tatu hii inaweza kua nyeto, nyeto ki vipi?. Tabia hii ukiwa na pisi yako bao la kwanza mnakua mnachezeana yeye anacheza na maiki io mpaka umwage nje kwanza ndio mnaanza mbilinge ya kuchimbua madini.
Au mwenyewe ulikua na tabia ya kujipiga selfie hivyo lazima ukiwa na mwanamke uvute sana hisia au uvutie hisia picha za ngono ulizo wahi ziangalia.
Hayo mambo matatu juu hapo baada ya kuachana nayo hali ilianza kurudi kawaida maana kabla kuna muda unapiga hata saa moja na nusu na bao halitoki au mpaka uvute hisia kwa pisi nyingine au picha za ngono na ukiwaeleza watu wanaona unawadanganya tu hawana msaada.
Daaah... Ulifuga hasira kwa muda mrefu.Iliisha tu yenyewe nadhan ilikuw pressure ya tendo maana tulikuwa hatujaonana for almost 3 months
Halafu huyo huyo mwanamke anayeenda bao 5 ndani ya dakika 40 anasema kwamba anamkomoa hahaaaa.Mwanamke ni Mgumu sana kufika kileleni kuliko Mwanaume. hasa kuanzia Bao la 3+, Sasa umesema Mwanamke kafika Bao 5.. wewe ndio kwanza una Bao 1 ambalo umelipata ndan ya dk 40.
swali huyo mwanamke alikuwa anaenda Bao moja kila baada ya dakika 7?
Naomba niongezee kijiko kimoja cha Sukari..
Ahsante.