Nadhani nimepata Changamoto labda kisaikolojia au kiafya. Napofanya tendo

Nadhani nimepata Changamoto labda kisaikolojia au kiafya. Napofanya tendo

Wadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu.

Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa zima.simalizi. so mwenzi anaomba twende mapumziko. Au nikimaliza goal la kwanza.

Round ya pili nitapata hamu mashine inasimama vizuri kabisa. But kumaliza inakuwa issue. Mara nyingi tunaishia kughairi. Maana sasa mwenza anakuwa amechoka, so tunaamua kuachia hapo. Mimi nabaki na maumivu sababu mashine inakuwa inauma. Ila sipati hisia za kumaliza. Najiuliza shida ni nini?

Sababu lengo la huu mchezo ni kufika mshindo kama mtu hufiki...inapoteza raha. Leo mwenzangu kamaliza mara 5. Mimi mara moja. Tena bao la kwanza nimelitafuta kwa almost dk 40.

Bao la pili tumejaribu two times mwenzangu anamaliza mimi simalizi. Mwishowe mtu anakwambia unafanya kumkomoa. Kitu ambacho siamini katika hicho. Napenda ku enjoy tendo na mwenzangu.

Huu ni mwezi wa nne sasa nimejaribu hata kubadilisha mwenza (kuchepuka) bado nakuwa vile vile. Namaliza bao la kwanza kwa kuvuta sana hisia. Na umalizaje wake hauwi kamilifu yaani kama nusu. Na mashine inabaki imesimama. Si enjoy kwa kweli.ile raha ya k mpaka unapata usingizi sina kwa kweli.

Sasa nmeona niweze share nanyi sababu nlikuwa naona nikisema hili wengine wanaweza kuja na hoja za kipuuzi. Sihitaji kujipigia debe kipuuzi/kipumbavu hivi. Nina maisha yangu ambayo yenyewe tu nayaamini.

Naombeni msaada. Je inaweza kuwa ni vyakula ,ugonjwa au tatizo la kisaikolojia. Nifanye nini? Ushauri please.
Huenda unakamia sana ama ulikuwa mpiga mgalala siku nyingi,au unatembea na mtu usiyempenda.
Hivo unafanya sex wkt hauna hisia.

Kama hivo havipo muone daktar
 
Huenda unakamia sana ama ulikuwa mpiga mgalala siku nyingi,au unatembea na mtu usiyempenda.
Hivo unafanya sex wkt hauna hisia.

Kama hivo havipo muone daktar
Hisia zipo ndiyo maana nanii inasimama. Otherwise najijua isingekuwa inasimama.hisia zipo sana. Kumpenda mhusika kupo sababu mbali na hapo huwa sina sababu ya kufanya mapenzi na mwanamke.
 
Lazima aone kama unamkomoa au umempakia vitu ili uchelewe kumwaga na muda wote anauliza humalizi mpaka inakua kero unaamua uachane nae tu. Kama mwanamke wako muelewa muelekeze ili ukimuhitaji asiwe anapiga piga chenga kipindi unajitibia.

Muhimu kula vyakula vinavyozalisha mbegu kwa wingi ili uwe na hisia za kutaka tendo mara kwa mara inasaidia kurudisha hali yako kwa muda mfupi maana kidumu kikijaa sana ni rahisi kuwahi kumwaga kuliko zikiwa chache utatumia siku nyingi zaidi mpaka hali irudi kwenye msitari maana lazima urudie tendo mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom