Lisu huyu anayeomba hadi hela za mavaziWale wanaweza kukulisha na kukuvisha wewe na ukoo wako.
Sema unajitoa akili tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu huyu anayeomba hadi hela za mavaziWale wanaweza kukulisha na kukuvisha wewe na ukoo wako.
Sema unajitoa akili tu.
Karibu capuchin
waache kubeti na na kunywa spirit wamvishe mtu hali ya kua wao hawavai gentleman, kweli?Wale wanaweza kukulisha na kukuvisha wewe na ukoo wako.
Sema unajitoa akili tu.
Nijuavyo kwenye ukweli hakuna kudhani, ukidhani inamaana hauna uhakika ndiyo sababu nikasema endelea kudhani.Gentleman,
hakuna haja ya kuunga mkono,
ukielewa ukweli tu inatosha, nao ukweli utakuweka huru wewe na familia yako, na kabisaa mtaondokana na utapeli wa aina yoyote wa vibaka wa siasa nchini 🐒