Nadhani No Reform No Elections ilipaswa kuanza kabla ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA. Kulikoni waliweza kufanya uchaguzi kwa Katiba mbovu vile?

Nadhani No Reform No Elections ilipaswa kuanza kabla ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA. Kulikoni waliweza kufanya uchaguzi kwa Katiba mbovu vile?

Attachments

  • 20250301_091224.jpg
    20250301_091224.jpg
    292.5 KB · Views: 1
Wale wanaweza kukulisha na kukuvisha wewe na ukoo wako.
Sema unajitoa akili tu.
waache kubeti na na kunywa spirit wamvishe mtu hali ya kua wao hawavai gentleman, kweli?

tembelea New African Hotel ujione wanavyopiga mayowe muhindi anapowanyoosha, utacheka ufe wanavyoyaporomosha 🐒
 
Gentleman,
hakuna haja ya kuunga mkono,

ukielewa ukweli tu inatosha, nao ukweli utakuweka huru wewe na familia yako, na kabisaa mtaondokana na utapeli wa aina yoyote wa vibaka wa siasa nchini 🐒
Nijuavyo kwenye ukweli hakuna kudhani, ukidhani inamaana hauna uhakika ndiyo sababu nikasema endelea kudhani.
 
Back
Top Bottom