Nadhani No Reform No Elections ilipaswa kuanza kabla ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA. Kulikoni waliweza kufanya uchaguzi kwa Katiba mbovu vile?

Wale wanaweza kukulisha na kukuvisha wewe na ukoo wako.
Sema unajitoa akili tu.
waache kubeti na na kunywa spirit wamvishe mtu hali ya kua wao hawavai gentleman, kweli?

tembelea New African Hotel ujione wanavyopiga mayowe muhindi anapowanyoosha, utacheka ufe wanavyoyaporomosha πŸ’
 
Gentleman,
hakuna haja ya kuunga mkono,

ukielewa ukweli tu inatosha, nao ukweli utakuweka huru wewe na familia yako, na kabisaa mtaondokana na utapeli wa aina yoyote wa vibaka wa siasa nchini πŸ’
Nijuavyo kwenye ukweli hakuna kudhani, ukidhani inamaana hauna uhakika ndiyo sababu nikasema endelea kudhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…