Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Ulichofanya ni utafiti au ni kuhisi tu, umefikiaje idadi hiyo ya nusu ya wanawake. Huo ni unajimu na si utafiti
 
isipokuwa wapare, ktk kikao cha wanaume tulikubaliana kwa kauli moja yakwamba wanawake wa kipare ni wife material kwa hali zote, umbo, tabia na matumizi ya pesa.
Labda kama wewe ME ni mpare pia maana ndo wanayaweza..

KE wapare wana amri balaa, inabidi ww ME uwe mtiifu kwake 🙄
 
Dada zako wanakutia hasira sana Mkuu.

Pole.
 
Alafu hii concept ya 50/50 imekaa kinafiki zaidi. kwa jinsi wanawake wanavyo perceive equality in mwanaume kuwa chini ya mwanamke tena kwa kila Jambo, at the same time mwanaume amhudumie kwa kila kitu Kama mgojwa vile[emoji28]
 
Ndugu tatizo lipo kwetu tunachagua kwa vigezo vya kibinadamu kama tabia, sura,elimu, kabila n.k hivyo ndivyo makosa yetu haturudi kwa Mwenyezi Mungu kutupa wake maana aliahidi atatupa wa kufanana nasi, ndoa nyingi zina shida watu hatukupewa na Mungu tukatumia vigezo vyetu ambavyo vinaleta shida.
 
hivyo ndivyo makosa yetu haturudi kwa Mwenyezi Mungu kutupa wake maana aliahidi atatupa wa kufanana nasi

Hapa ndipo alipotuacha solemba, hakutupatia miongozo, matokeo yake tunakutana nao kama vipofu tunauziwa mbuzi kwenye magunia muziki tunakwenda kukutana nao majumbani, unajiuliza hivi nimenunua mbuziiii au chui!!!
 
Waleeni mabinti zenu vizuri ili wawe wake bora baadaye, acheni kulaumu haitasaidia, jiulize wewe kama baba unashiriki vipi kuhakikisha binti yako ni wife material wa baadaye?
 
Hapa ndipo alipotuacha solemba, hakutupatia miongozo, matokeo yake tunakutana nao kama vipofu tunauziwa mbuzi kwenye magunia muziki tunakwenda kukutana nao majumbani, unajiuliza hivi nimenunua mbuziiii au chui!!!
Makosa ni kwetu kwani hatukumwomba tukatumia vigezo vyetu kumbe tukakamatika kama mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…