Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Waziri mwenye dhamana yuko kimya utafikiri hayaoni yale maghorofa kila siku.Hlo shirika lilikuwa kiupigaji zaidi.....!!! Na kama hlo shirika lingefata sera yao nafkr watu wasingehangaika kujenga nyumba , but likageuzwa kuwa mradi wa watu wachache wa kupeana tenda , nyumba ya mil 25 inauzwa mil 85,....mwisho wakaamua kurundika maghorofa dsm ambayo sasa ni makaz ya popo
Ni wazi kuwa Magufuli haipendi NHC. Ndio maana akasimamisha hata mradi wa Kigamboni.Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha.
Hii ni licha ya kuambiwa uchumi wetu wa viwanda unakua kwa zaidi ya 7%.
Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama kabisa kwa miaka takriban minne sasa.
Hiyo ni dalili tosha kudorora kwa NHC.
Siyo siri, tutakachosikia punde ni shirika kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi.
Meko doesnt care!Hili ni janga kubwa litakalotikisa mabenki muda si mrefu.
Fikiria mtu alichukua mkopo benki kwa ajili ya kununua nyumba, hapo inamaana anaanza kuulipia mkopo wake kuanzia sasa.
Walionunua walitegemea kufikia muda flani watakabidhiwa nyumba zao waanze kuingiza pesa zipunguze mzigo wa marejesho ya mkopo, kwa mwendo huu inamaana wengi watashindwa kurejesha pesa. Kilio kitasambaa kwa benki zilizowakopesha hawa jamaa.
Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama kabisa kwa miaka takriban minne sasa.
Hiyo ni dalili tosha kudorora kwa NHC.
Walionunua walitegemea kufikia muda flani watakabidhiwa nyumba zao waanze kuingiza pesa zipunguze mzigo wa marejesho ya mkopo, kwa mwendo huu inamaana wengi watashindwa kurejesha pesa. Kilio kitasambaa kwa benki zilizowakopesha hawa jamaa.
Sio sahihi kabisa,shirika lilikuwa na upigadili wa hali ya kutisha ndio maana unaona kila kilichofanyika kiwizi kimesimama....Kwa akili ya kawaida NHC kuwa na shida ya ukwasi inajieleza yenyewe
1. Miradi mingi mikubwa ilikuwa Dar, Wapangaji wengi hawapo
2. Hali ya kiuchumi so nzuri, hivyo makampuni mengi yamejenga ofisi zao au wamepanga majengo ya bei rahisi
3. Wapangaji wengi kwa ajili ya makaazi nao hawana hela
Hapa ndio huwa tunakosea. Kwa nini ununue nyumba ambayo haijakamilika?
Umesikia (usidhani), usituaminishe kuwa umefanya uchunguzi na kuliona hilo, weka habari kama wote tulivyoisikia na chanzo chake si wewe.Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha.