Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Dar demand ni kubwa kuliko dodoma.Ingewezekana yale maghorofa wangeyapeleka Dodoma.......kule demand kubwa!
Mji wa dodoma ushakufa kabla haujaanza.
Magufuli akiondoka mji unarudi dar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar demand ni kubwa kuliko dodoma.Ingewezekana yale maghorofa wangeyapeleka Dodoma.......kule demand kubwa!
Mkuu lakini ni vyema tufahamu kwa kina:-Wakati mimi nataka kununua mwaka 2015, niliambiwa kuwa hizo za Morocco zingekamilika Dec 2017. Leo 2019 inayoyoma, halafu mnasema bado hazijakamilika! Wawe wanajenga kwanza wanakamilisha ndio wanauza. Mali kauli siyo nzuri. Sasa hivi kuna hatari ya kufilisi mabenki yetu kwa sababu ya tamaa zao.
Usihamishe magoli!Kujenga nyumba siyo kazi rahisi mkuu, ndo maana kuna taasisi kubwa mfano vyama vya siasa vikubwa na vikongwe lakini hadi leo vinaishi kwenye nyumba za kupanga.
Huyo Huyo alipigiwa kampeni eti apewe u govoner BOTMsechu na genge lake wameshiriki kikamilifu kulifikisha shirika katika hali mbaya kiuchumi, yeye alikuwa ananunua ardhi kwa bei mbaya na wazabuni wenye bei mbaya huku ubora wa nyumba ukiwa wa chini!! UFISADI umechangia kuchoka kwa shirika
Ni shida..Post namba 36 inafikirisha sana, Hongera X-bar kwa kuwaza deep..
Ukiisoma post hii namba 36, utajiuliza maswali yafuatayo pia, NSSF na PPF zilikuwa na projects nyingi sana za ujenzi wa majumba na vitega uchumi mbalimbali lakini iliweza kulipa wanachama wake FAO LA KUJITOA, NA PENSION BILA SHIDA, lakini wakati huu tunaona pia NSSF na PPF na hazina projects zozote lakini pia zinashindwa kulipa kabisa fao la kujitoa kwa watu wake, na pia hulipa watu pension kwa kusuasua - HAPA UNAAMBIWA PIA SHIDA NI AWAMU YA NNE na DR DAU walikuwa wapigaji na sasa tunanyoosha...
Ukiisoma post namba 36, utajiuliza maswali haya pia juu ya SEKTA YA OIL AND GAS.. Oil and gas iliifanya Mtwara na Lindi zianze kuja kasi na maisha kwa wakazi kuanza kuwa mazuri kiasi cha miji kuanza kujengwa kisasa na mzunguko wa hela kukua maradufu... Wahitimu wa PETROLEUM ENG walipata tegemeo kubwa sana juu ya uwepo wa makampuni mengi mtwara ya mafuta na gas lakini kwa sasa tuna mamia ya wahitimu hawana kazi wala mategemeo ya kazi.. OIL AND GAS Ilipoboom Mtwara na Lindi makampuni makubwa dunia yalivutika na kuweka base pale na ikawa faraja kwa wakazi na watanzania.. Makampuni zaidi ya kumi makubwa na maarufu kwenye oil and gas yaliweka kambi Mtwara na kuajiri mamia kwa maelfu ya watu na kuleta ahueni ya maisha kusini lakini leo hii yote hayapo - HAPO NAPO TUNAAMBIWA TATIZO NI UPIGAJI AWAMU YA NNE YA MZEE JK, lakini hatuoni chochote kikiendelea sasa..
Msechu?Msechu walimuona kilaza wakapeana wakanda
Hizo ni chuki kwa mchechu, mbona alipokuwa madarakani NHC ilikuwa juu sana?Msechu na genge lake wameshiriki kikamilifu kulifikisha shirika katika hali mbaya kiuchumi, yeye alikuwa ananunua ardhi kwa bei mbaya na wazabuni wenye bei mbaya huku ubora wa nyumba ukiwa wa chini!! UFISADI umechangia kuchoka kwa shirika
Hlo shirika lilikuwa kiupigaji zaidi.....!!! Na kama hlo shirika lingefata sera yao nafkr watu wasingehangaika kujenga nyumba , but likageuzwa kuwa mradi wa watu wachache wa kupeana tenda , nyumba ya mil 25 inauzwa mil 85,....mwisho wakaamua kurundika maghorofa dsm ambayo sasa ni makaz ya popo
[/QUO
Post namba 36 inafikirisha sana, Hongera X-bar kwa kuwaza deep..
Ukiisoma post hii namba 36, utajiuliza maswali yafuatayo pia, NSSF na PPF zilikuwa na projects nyingi sana za ujenzi wa majumba na vitega uchumi mbalimbali lakini iliweza kulipa wanachama wake FAO LA KUJITOA, NA PENSION BILA SHIDA, lakini wakati huu tunaona pia NSSF na PPF na hazina projects zozote lakini pia zinashindwa kulipa kabisa fao la kujitoa kwa watu wake, na pia hulipa watu pension kwa kusuasua - HAPA UNAAMBIWA PIA SHIDA NI AWAMU YA NNE na DR DAU walikuwa wapigaji na sasa tunanyoosha...
Ukiisoma post namba 36, utajiuliza maswali haya pia juu ya SEKTA YA OIL AND GAS.. Oil and gas iliifanya Mtwara na Lindi zianze kuja kasi na maisha kwa wakazi kuanza kuwa mazuri kiasi cha miji kuanza kujengwa kisasa na mzunguko wa hela kukua maradufu... Wahitimu wa PETROLEUM ENG walipata tegemeo kubwa sana juu ya uwepo wa makampuni mengi mtwara ya mafuta na gas lakini kwa sasa tuna mamia ya wahitimu hawana kazi wala mategemeo ya kazi.. OIL AND GAS Ilipoboom Mtwara na Lindi makampuni makubwa dunia yalivutika na kuweka base pale na ikawa faraja kwa wakazi na watanzania.. Makampuni zaidi ya kumi makubwa na maarufu kwenye oil and gas yaliweka kambi Mtwara na kuajiri mamia kwa maelfu ya watu na kuleta ahueni ya maisha kusini lakini leo hii yote hayapo - HAPO NAPO TUNAAMBIWA TATIZO NI UPIGAJI AWAMU YA NNE YA MZEE JK, lakini hatuoni chochote kikiendelea sasa..
ukiona shirika linaanza kuendeshwa kisisa ndo ujue kaburi liko mbele yake.hili shirika lilikuwa linagawa nyumba kwa upendeleo na lilikuwa haliwatendei haki wanyonge hivyo likifa ni sawa tu ijapokuwa litawanyima ajira vijana wetu.tutaunda chombo kingine ambacho kitakuwa kinawatendea haki wanyonge.
Siyo rahisi kuunda shirika la nyumba popote pale.ukiona shirika linaanza kuendeshwa kisisa ndo ujue kaburi liko mbele yake.hili shirika lilikuwa linagawa nyumba kwa upendeleo na lilikuwa haliwatendei haki wanyonge hivyo likifa ni sawa tu ijapokuwa litawanyima ajira vijana wetu.tutaunda chombo kingine ambacho kitakuwa kinawatendea haki wanyonge.
Mchechu ndiye kaliua alikopa sana akitegemea mafisadi watanunua nyumba hizi za kimangumashu. Alipokuja JPM akaziba mashimo ya pannya pakadodaMsechu walimuona kilaza wakapeana wakanda
NHC mna kazi kubwa kurudisha hadhi yenu.
True, lakini NHC ni mali ya serikali 100%NHC mna kazi kubwa kurudisha hadhi yenu.
Kifua "mbere"Tumuombe jiwe atoe Boeing Dream liner ibebe yale maghorofa ya Moroco na Kawe wayapeleke Dodoma. Jiwe hashindwi kitu bana. Tembeeni kifua mbele.
Msechu walimuona kilaza wakapeana wakanda
Nyie ndo haters.Msechu na genge lake wameshiriki kikamilifu kulifikisha shirika katika hali mbaya kiuchumi, yeye alikuwa ananunua ardhi kwa bei mbaya na wazabuni wenye bei mbaya huku ubora wa nyumba ukiwa wa chini!! UFISADI umechangia kuchoka kwa shirika