Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #61
Ni kweli NHC ilibadilika sana na kuwa shirika linalotaka kujiendesha kibiashara na kuweka uwekezaji mkubwa.Nyie ndo haters.
Mchechu alikuwa kiongozi wa 21st Century.
Vikwangua aga alivyobuni inabidi viendelezwe.
Nyie mnaoridhika kuishi maisha yasiyo na maendeleo huko mabonde kuinama nani atawaingilia?
Lakini serikali-mwenye shirika haitaki hilo.
Serikali inataka shirika liendelee kujenga vijumba visivyolipa na bado haiingizi mtaji kwenye shirika.