Wana minyumba Yao mighorofa uchwara kwenye miji mingi tz huwa haifanyiwi ukarabati au hata kujenga mpya imefanya miji mingi ionekane mikongwe na mibaya mfano ni mji wa bukoba,moshi,tabora nkHlo shirika lilikuwa kiupigaji zaidi.....!!! Na kama hlo shirika lingefata sera yao nafkr watu wasingehangaika kujenga nyumba , but likageuzwa kuwa mradi wa watu wachache wa kupeana tenda , nyumba ya mil 25 inauzwa mil 85,....mwisho wakaamua kurundika maghorofa dsm ambayo sasa ni makaz ya popo
False Account! Pesa njenje bila risiti bila kodi ya PAYE! Hutolewa kwa kushtukiza.Waziri mwenye dhamana yuko kimya utafikiri hayaoni yale maghorofa kila siku.
Watumie Force Account kuyamalizia.
Huhitaji kuwa na akili yoyote ukiliona gari limesimama.Umesikia (usidhani), usituaminishe kuwa umefanya uchunguzi na kuliona hilo, weka habari kama wote tulivyoisikia na chanzo chake si wewe.
Msechu na genge lake wameshiriki kikamilifu kulifikisha shirika katika hali mbaya kiuchumi, yeye alikuwa ananunua ardhi kwa bei mbaya na wazabuni wenye bei mbaya huku ubora wa nyumba ukiwa wa chini!! UFISADI umechangia kuchoka kwa shirikaMsechu walimuona kilaza wakapeana wakanda
Siyo siri, shirikalikiendelea hivi litafilisika kibiashara ndani ya mwaka.Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha.
Hii ni licha ya kuambiwa uchumi wetu wa viwanda unakua kwa zaidi ya 7%.
Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama kabisa kwa miaka takriban minne sasa.
Hiyo ni dalili tosha kudorora kwa NHC.
Siyo siri, tutakachosikia punde ni shirika kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi.
Mchche yupo mitaani.Mchechu yuko wapi siku hizi?
Mchche yupo mitaani.
Lakini atalaumiwa kwa kuwa na bourgeouise vision ya shirika isiyoendana na hali halisi ya wanyonge.
Nashukuru sana kama umeliona hili , napenda nikuhakikishie kwamba Hela zote zilizopangwa kwa miradi iliyosimama zimekombwa na kupelekwa " kunyumba "Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha.
Hii ni licha ya kuambiwa uchumi wetu wa viwanda unakua kwa zaidi ya 7%.
Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama kabisa kwa miaka takriban minne sasa.
Hiyo ni dalili tosha kudorora kwa NHC.
Siyo siri, tutakachosikia punde ni shirika kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi.
Waliomuondoa Mchechu ...kwa maoni yangu naona walicheza faulu kubwa sana..Kama kunauwezekano...mimi ninashauri aombwe arudi kuokoa jaazi...Yaliopita amutumuachie Mungu...
Msechu ndio aliliua shirikaMsechu walimuona kilaza wakapeana wakanda
Hivi kwanini kila mradi, shirika au kampuni zinazoyumba katika awamu hii mnasema sababu ya kuyumba huko ni upigaji? Yaani mnataka kutuaminisha kwamba kila kitu katika nchi hii kilichokuwa kinastawi kabla ya awamu hii ni matokeo ya dili za ujanja ujanja na kwamba kwavile katika awamu hii dili hizo hazipo tena basi ndo sababu ya kuyumba.Hlo shirika lilikuwa kiupigaji zaidi.....!!! Na kama hlo shirika lingefata sera yao nafkr watu wasingehangaika kujenga nyumba , but likageuzwa kuwa mradi wa watu wachache wa kupeana tenda , nyumba ya mil 25 inauzwa mil 85,....mwisho wakaamua kurundika maghorofa dsm ambayo sasa ni makaz ya popo
NHC walikuja na mbwembwe sana mkuu.
Yale matangazo na uhamasishaji ukawapagawisha watu. Kwa vile kulikua na uhakika wa ile miradi kukamilika kwa wakati, mabenki na wateja wakaingia mkenge.
Wakati mimi nataka kununua mwaka 2015, niliambiwa kuwa hizo za Morocco zingekamilika Dec 2017. Leo 2019 inayoyoma, halafu mnasema bado hazijakamilika! Wawe wanajenga kwanza wanakamilisha ndio wanauza. Mali kauli siyo nzuri. Sasa hivi kuna hatari ya kufilisi mabenki yetu kwa sababu ya tamaa zao.
Mkuu ume argue vizuri.Hivi kwanini kila mradi, shirika au kampuni zinazoyumba katika awamu hii mnasema sababu ya kuyumba huko ni upigaji? Yaani mnataka kutuaminisha kwamba kila kitu katika nchi hii kilichokuwa kinastawi kabla ya awamu hii ni matokeo ya dili za ujanja ujanja na kwamba kwavile katika awamu hii dili hizo hazipo tena basi ndo sababu ya kuyumba.
Kwa maoni yangu huku ni kupotosha ukweli. Mathalani inawezekanaje kutuaminisha kuwa kulikuwa na dili za upigaji katika "kulistawisha" shirika la NHC wakati hakuna ripoti zinazoonesha upigaji huo iwe ya CAG, TAKUKURU au kamati yoyote ya Bunge? Mkurugenzi wa shirika hili Ndg Mchechu aliondolewa na Rais. Hata hivyo "mtumbuaji" hakueleza sababu ya kumuondoa mkurugenzi huyo kuwa ni ubadhirifu au utendaji usioridhisha kama afanyavyo kwa watumbuliwa wengine.
Lakini suala la msingi hapa siyo kujadili dili za upigaji za "watu wachache", bali ni ustawi wa shirika katika utawala huu. Hili ni shirika la umma, kwahiyo mwenye mamlaka na uwezo wa kuliendeleza au kiliua ni serikali. Itakuwa ni jambo la kushangaza sana kuona kwamba dili za upigaji za watu wacheche katika awamu zilizopita ziliweza kuliendeleza na kustawisha biashara za NHC, lakini mipango na mikakati halali ya serikali ya awamu ya tano inashindwa. Je, tulaumu dili za upigaji za watu wachache zilizostawisha shirika huko nyuma au tulaumu mipango na mikakati halali ya serikali ya awamu hii iliyoshindwa kustawisha shirika? Au tuseme shirika limetelekezwa na serikali ya awamu hii kwavile liliendelezwa kifisadi huko nyuma? Kama ni hivyo, je hatua hiyo ya kulitelekeza shirika ina tija gani kwa taifa?