Nadhani Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lipo katika hali mbaya ya kifedha

Nyie ndo haters.
Mchechu alikuwa kiongozi wa 21st Century.
Vikwangua aga alivyobuni inabidi viendelezwe.

Nyie mnaoridhika kuishi maisha yasiyo na maendeleo huko mabonde kuinama nani atawaingilia?
Ni kweli NHC ilibadilika sana na kuwa shirika linalotaka kujiendesha kibiashara na kuweka uwekezaji mkubwa.
Lakini serikali-mwenye shirika haitaki hilo.
Serikali inataka shirika liendelee kujenga vijumba visivyolipa na bado haiingizi mtaji kwenye shirika.
 
Hela za mashirika yote - Bandari, NHC, Reli nk. - anakusanya Jiwe Halaf ananunulia ndege...

So Hakuna shirika linaweza kukamilisha miradi yake sasa!
 
Huhitaji kuwa na akili yoyote ukiliona gari limesimama.
Ukisema liko barabarani safarini huku liko juu ya mawe, basi inabidi upimwe akili.
Kama unalijua hilo kwanini unasema unadhani! Ukiona gari limesimama hudhani limesimama kwani limesimama.
 
Hivi mchechu ndio nasikia alikua anajilipa million 40 kwa mwezi na allowances za kufa mtu?
 
Hivi mchechu ndio nasikia alikua anajilipa million 40 kwa mwezi na allowances za kufa mtu?
Endelea kusikia lakini ukiwa na ka photocopy ka salary slip yake itakuwa vizuri zaidi.
Nyie ndo mnazusha vifo vya watu bila ushahidi.
 
Mchechu ndiye kaliua alikopa sana akitegemea mafisadi watanunua nyumba hizi za kimangumashu. Alipokuja JPM akaziba mashimo ya pannya pakadoda
M

kweli kabisa kinachoua mashirika ni ufisadi na si kingine.watu wamekuwa wabinafisi zaidi na hawajali hata maisha ya wengine.Mungu wamemweka kando wameegemea ya dunia as if wataishi duniani milele.Magu kawakomesha sasa hivi wamebaki vilio kila kona ati maisha magumu ,magumu wapi walizoea kuiba ndo maana wanasema magumu.mbona wengine wanaendelea na maisha kama kawaida lkn wao vilio kila kona.walikokuwa wanategemea kupiga kote kumezibwa sasa wamebaki na vilio tu.nchi sasa inaenda sawa sawa wacha nao wapigwe.
 
Kuna dhambi hii nchi ilikuwa inafanyiwa pole pole sasa naona Mungu kaingilia kati. Ni imani yangu kuwa ilikuwa ni dhuluma kwa Umma wa Watanzania kwa hili shirika kujenga nyumba kwenye prime areas na kuziuza kwa wenye kukopesheka kwa dhamana za vyeo. Hayo maeneo ndio yangeliingizia fedha shirika kama wangepangisha residential quarters lakini wao wanauziana wakubwa ili waje kuwa matajiri wa kudumu.
 
Kuna nyumba za shirika zinakaliwa na popo na panya..ukienda Kahama Kuna nyumba za NHC zimekosa watu zinachakaa tu.
 
Nashukuru sana Mkuu kwa kuongelea vizuri upande ambao wengi hawauoni au hawaelewi kwa kutojua yanayoendelea nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…