Nadhani tunahitaji vyuo vingi vya Ufundi stadi

Nadhani tunahitaji vyuo vingi vya Ufundi stadi

Wanalipa kwenye kodi baada ya kuzalisha. Hivi unategemea mtoto yatima atoe wapi hela?
Kwamba wote wasioweza lipa ni Yatima?
Hujui hii sera ya Elimu bure imesababisha wazazi wabweteke?
 
Kwamba wote wasioweza lipa ni Yatima?
Hujui hii sera ya Elimu bure imesababisha wazazi wabweteke?
Sidhani kama umeisoma hii topic yangu/posti ya kwanza.
 
Hello Great Thinkers.

Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu.

Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania.

Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k

Vyuo hivi Ada yake iwe Free

Vyuo viwe kwa ajili ya watu ambao ni Tegemezi kwa sasa, labda circumstances zimewafanya wawe tegemezi.

Utegemezi unakuja kwa sababu tofauti, wazazi kukosa ada zamani ,(sababu mfumo wa kusoma ulikuwa ni wa malipo), kukatiza masomo labda kwa sababu ya mimba, utoro, n.k ni Mambo ambayo yamesababisha watu wasipate Elimu ipasavyo na baadae kupunguza chances zao za kupata kazi/kipato,(secured income),

Magroup yanayokuwa affected zaidi ni yale ya vijana/watoto wanaoishi kwenye Mazingira Magumu,Yatima, Adults walio miss Education Opportunities hapo awali...Na watu ambao wamepoteza ajira zao Rasmi.

Hii inaongeza Vulnerability.

Ili kula na ku survive Makundi haya yanakuwa exploited Financially (labda kazi kwa ujira mdogo),Sexually (harassment,Assault,Rape) etc.

Kupunguza hii Vulnerability,

Serikali ifikirie kutarget hawa watu/hili kundi specific

Kwa kuwapa skills ili wajitegemee.

Wakishakuwa wamejengewa capability na serikali kwa kupewa skills then wataingia rasmi kwenye Uzalishaji.

Uzalishaji ina a sense wanaweza Kujiajiri sasa ama Serikali inaweza kuwapa Ajira sababu tayari watu wana Skills.

Ningependa kuona baada ya kupewa skills na kupata Ajira watu hawa wanalipa kodi, ( I know it sucks yeah,kuona yote inaenda kwa Mafisadi,LOL).

Ila Kodi wanayolipa itumike mostly kwenye Kuendesha vyuo hivi na kidogo ndio iende kwenye Mambo Mengine.

I really think kama kweli Serikali bila Mafisadi inataka kuongeza Tax base na Kupunguza Mzigo kwa Serikali then moja ya vitu vinavyotakiwa Kufanywa ni pamoja na Kuwafanya watu wale Unemployable kuwa Employable. Na moja ya Magroup ambayo yako Unemployable ni haya niliyotaja kwenye hii topic.

Mnaonaje hili wazo?
Vyuo vya ufundi vipo bongo already mpaka vimezidi , tatizo basic la hii nchi ni Umasikini unaosanababishwa na regime ya CCM , period !, TZ kuna mamilioni ya vijana Wana elimu za ufundi kama uhandisi , ufundi mchundo NK lakini ajira hamna ,wapo mitaani wanarandaranda Tu , yaani tuna taifa kwenye uchumi WA makaratasini na uchawa Ila uchumi usiozalisha ajira wala prosperity Kwa watu , kilichopo ni ufisadi na corruption ,basi
Solution ni total ovaerhaul + revamping ya mfumo WA uongozi +economic policies na systems za nchi , nchi ambayo inaendeshwa kichawa +no meritocracy wala responsibility sense hiyo nchi haiwezi toboa miaka 100000000000000
 
Vyuo vya ufundi vipo bongo already mpaka vimezidi , tatizo basic la hii nchi ni Umasikini unaosanababishwa na regime ya CCM , economic policies za hii nchi ni za kipumbavu na kishenzi mnoo , unless labda uwe mwendawazimu ndio utazielewa , period !, TZ kuna mamilioni ya vijana Wana elimu za ufundi kama uhandisi , ufundi mchundo NK lakini ajira hamna ,wapo mitaani wanarandaranda Tu , yaani tuna taifa kwenye uchumi WA makaratasini na uchawa Ila uchumi usiozalisha ajira wala prosperity Kwa watu , kilichopo ni ufisadi na corruption ,basi
 
Tatizo tunaendekeza kuwaza miracles with no action , kila siku tunawaza hili jinamizi la miaka60+ litaondoka lakini Hakuna fears action tunayofanya kuondoa Huu uozo yaani ni sawa na jumps fisi akulindie bucha la nyama , tuna tatizo ambalo ni systemic kwenye hii nchi , asikudanganye mtu eti sijui watu hawana elimu au skills , mtu anayeandika hivi hajui anachoongea kabisa ni WA kumuonea huruma .
 
Isome tena posti yangu ya kwanza kwa umakini.
 
Na t
Program hii ipo tangia enzi za NVTC kabla hata hilo jina halijabadilishwa kuwa VETA sema wewe ndio ulikuwa haujui.

Lakini kwa miaka ya sasa pamoja na watu kurasimisha ufundi wao au ujuzi bado hawana nafasi ya kuajiriwa iwe serikalini au mashirika binafsi kwa kigezo cha form four, sasa bado tatizo lipo pale pale la kiajira zaidi ni mtu kuwa na karatasi(cheti) ambacho bado hakikusaidii ndani ya nchi yako tofauti na miaka ya NVTC.

Najua utasema teknolojia imebadilika lakini je hionteknolojia sisi kwa mahitaji yetu inazuia watu wenye ujuzi wa kati kutokufanya kazi hizo??

Mfano, udereva,ufundi umeme wa majumbani, mechanics,ufundi bomba, ufundi bodi, useremala je ni kweli sifa hizi zinahitaji sana elimu ya zaidi ya darasa la saba?
Suala la lugha ni muhimu sana kuijua na hili ni la watu wote iwe la saba au chuo kikuu.

Matatizo ya kiajira na kujiajiri nchi hii hayawezi kutatuliwa na hawa wanasiasa ambao ni selfish.
Na actually mnatakiwa kujiuliza je hizo ajira zenyewe zipo ? Na mitaji na mazingira wezeshi ya hao watu kulaunch biashara zao Kwa kujiajiri ? , Nchi ambayo ina watu 60+millioni ambamo more than 75 Percent wamo kwenye dimbwi la ukapuku ni ndoto hata hayo mnayoyajadili , nchi watu wake ni masikini hata purchasing power ya hizo bidhaa na services za watu wanaojiajiri wachache hao zitauzwa vipi wakati wananchi hawana uwezo WA kununua hizo bidhaa na huduma ? , Tatizo nchi hii hatuangalii mambo in a big economic and financial sense .
Hata wawekezaji hawatakuja maana muwekezaji naye anaangalia soko pia na purchasing power ya huduma na bidhaa katika nchi husika labda kuvuta wawekezaji ambao watafungua biashara kubwa zenye kuweza kuajiri watu wengi Kwa ajiri ya kufanya export katika masoko ya kimataifa , Na to be honest Mimi naona hii ndio only way hii nchi itaweza kujikwamua kitokabkatika matatizo chronic kama unemployment na poverty lakini kazi kubwa Sana bado inatakiwa ifanyike ya kimabadiliko na kimfumo katika serikali ,tena Sana sio mchezo .

Serikali hii hii iliyooza hivi Kwa miaka 60 huku ikizalisha ufukara WA kutisha na kufilisi nchi Kwa wizi ,ufisadi na rushwa haiwezi kuimplement solutions zinzohitaji uwajibikaji +discipline +uwazi +ubunifu kama hizi ,
Hamna nchi iliyofanikiwa Kwa miujiza Period
 
Mkuu umezungumzia vitu vingi important, nimefurahi kuwa unachukizwa na Ufisadi, hata mimi nauchukia sana. Ndio sababu kuu Tanzania hatu progress despite having a lot of resources. Lakini kama umenisoma mimi nilikuwa namaanisha kuna Kundi katika Jamii ambalo liko left out, due to unfortunate circumstances. Hili ndilo kundi sisi (serikali) nilitaka i target.

Bila ufisadi,skills ni important. I believe hii ndio one of drivers kama Uchumi wa nchi unataka ku move foward. Sababu hata ume mention investors waje wafungue biashara kubwa tuweze Kuexport kwenye Masoko ya Kimataifa. I believe moja ya sababu zitakazomvutia Muwekezaji ni kujua kwamba akitaka kuja Nchini,watu atakaowatumia je wana skills? (human resource, skilled workforce?), things are simplified kama watu watakuwa na skills.

Unasema ajira hamna, uko sahihi lakini kutokua na skills kabisa je ndio solution la unemployment? Poverty???? Mimi binafsi wakati naandika Topic hii nilikua nawaza hizo skills nyingi kama nilizo mention zitawasaidia watu kujiajiri, Mfan nimemention upishi, make up/saloon, Kupaka rangi, ukiangalia hivi vitu bila kuwa biased vinafanya watu wasikose hela kabisa,sijasema watapata much(inategemea na mtu),lakini hawatakosa kabisa, na hawa watu wakipata pesa hata kama kidogo watakuwa na purchasing power,hivyo kutakua na mzunguko fulani wa pesa. Again i believe something is better than nothing, afadhali uwe na skills ujiajiri upate kidogo kuliko kutokua na skills, usiwe na ajira, unakuwa vulnerable kuingia kwenye uhalifu. Ila yote ni Upuuzi kama Ufisadi utaendelea kuwepo, Ujinga ni mtaji wa CCM.
 
Wazo zuri sana hili

inatosha Sasa kumpeleka mtoto shule miaka mitano kujifunza how to calculate car speed

Badala kutengeneza Hilo gari
 
Ni
Mkuu umezungumzia vitu vingi important, nimefurahi kuwa unachukizwa na Ufisadi, hata mimi nauchukia sana. Ndio sababu kuu Tanzania hatu progress despite having a lot of resources. Lakini kama umenisoma mimi nilikuwa namaanisha kuna Kundi katika Jamii ambalo liko left out, due to unfortunate circumstances. Hili ndilo kundi sisi (serikali) nilitaka i target.

Bila ufisadi,skills ni important. I believe hii ndio one of drivers kama Uchumi wa nchi unataka ku move foward. Sababu hata ume mention investors waje wafungue biashara kubwa tuweze Kuexport kwenye Masoko ya Kimataifa. I believe moja ya sababu zitakazomvutia Muwekezaji ni kujua kwamba akitaka kuja Nchini,watu atakaowatumia je wana skills? (human resource, skilled workforce?), things are simplified kama watu watakuwa na skills.

Unasema ajira hamna, uko sahihi lakini kutokua na skills kabisa je ndio solution la unemployment? Poverty???? Mimi binafsi wakati naandika Topic hii nilikua nawaza hizo skills nyingi kama nilizo mention zitawasaidia watu kujiajiri, Mfan nimemention upishi, make up/saloon, Kupaka rangi, ukiangalia hivi vitu bila kuwa biased vinafanya watu wasikose hela kabisa,sijasema watapata much(inategemea na mtu),lakini hawatakosa kabisa, na hawa watu wakipata pesa hata kama kidogo watakuwa na purchasing power,hivyo kutakua na mzunguko fulani wa pesa. Again i believe something is better than something, afadhali uwe na skills ujiajiri upate kidogo kuliko kutokua na skills, usiwe na ajira, unakuwa vulnerable kuingia kwenye uhalifu. Ila yote ni Upuuzi kama Ufisadi hautakuwepo, Ujinga ni mtaji wa CCM.
Ni Sawa Ila nchi hii inakatisha Tamaa Sana in so many levels , everything is so disorganized and messy , too bad mentality za kishamba za viongozi ndio hizo hizo tunatarajia ziendeleze hii nchi , sikatai vocational skills is a must , definitely it is but dah ! Kazi IPO , Kwa akili hizi za kina mwigulu na genge la kijani hili , mhhh ! ngumu kumeza aisee
 
I agree Mkuu,

Kazi tunayo watanzania kuondoa hili Dubwana linaloitwa CCM.
 
Back
Top Bottom