Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona.
Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule mchanganyiko ni sahihi kabisa kuwa na vitungu saumu.
Tuendelee kujifukiza.
Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule mchanganyiko ni sahihi kabisa kuwa na vitungu saumu.
Tuendelee kujifukiza.