Kumbe wale doctors wa Italia Walikuwa sahihi katika utafiti wao na postmoterm waliofanya kwenye mauti za Corona.Walisema Corona haisababishwi na virus.Ila Ni bacteria wanaozalishwa wakati wa "mapambano kati ya mionzi inayotokana kwenye internate ya 5G na bacteria wa ulinzi(Kinga) waliopo kwenye mwili wa mwanadamu".Hawa bacteria wapya waliozalishwa wanafanya damu kuganda kwenye mishipa ya damu,Kama mwili wako una Kinga ndogo(low imune system)na matokeo yake Ni oxygen kushindwa kusafirishwa kwenda kwenye mapafu na ubongo na matokeo mtu hawezi kupumua maana mapafu yamekosa oxygen.Mwisho wake Ni kufa.kwa Hiyo tunapotumia mchanganyiko wa tangawizi,limao,na kitunguu swaumu kwa pamoja(vyote hivi huwa vinazuia damu kuganda) tunakuwa tunajitibia Corona.