Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
- Thread starter
- #21
Kama unalosema ni kweli mbona nilishakupatia hiyo inayoanza na maelezo. Ndiyo niliandika hadi na summary bado tu hutaki. Post namba saba #7 [aya ya kati] imekupa maelezo mazuri kabisa hadi mwishoni ikahitimisha. Irudie tena uione."We are of God and we live for mankind"
Kanuni inayoanza na conclusion (hasty generalizations fallacy) hiyo ni forgery na siwezi kuruhusu majibu yake na ulikuwa sahihi ku doubt majibu yako kuweza kukataliwa.