Nadharia mpya kuhusiana na matatizo fulani ya mfumo wa neva na kupelekea kupooza kwa viungo

"We are of God and we live for mankind"

Kanuni inayoanza na conclusion (hasty generalizations fallacy) hiyo ni forgery na siwezi kuruhusu majibu yake na ulikuwa sahihi ku doubt majibu yako kuweza kukataliwa.
Kama unalosema ni kweli mbona nilishakupatia hiyo inayoanza na maelezo. Ndiyo niliandika hadi na summary bado tu hutaki. Post namba saba #7 [aya ya kati] imekupa maelezo mazuri kabisa hadi mwishoni ikahitimisha. Irudie tena uione.
 
Post #7

"Basi nikakubaliana na kanuni zinazoelekeana na hilo halafu baadae ndio kugundua kumbe hii ndio ipo katika filosofia kubwa kabisa aliyoileta Yesu iliyosema ' We are of God our Father, we ought to live for each other as brothers' Love God with all your mighty and your neighbour as yourself. Basi bila shaka huo ndio UKWELI."

Hapo umeongelea personal experience ambayo ukaitumia kuunganisha mambo mawili ambayo haya relate na kuweka hitimisho.

Personal experience ndio iliyowafanya watu waseme jua linatembea lakini leo hii mimi na wewe wote tunajua kua sio kweli.
 
Kama uthibitisho upo katika hali ya wazo na kwako unaona wazo ni msingi mzuri wa kujua ukweli wa mambo

Basi na mimi nina wazo hapa

Nina wazo, wazo lako la kusema Mungu yupo kwa mawazo ni utapeli wenye mzaha ndani yake.

Una mawazo yeyote dhidi ya hoja yangu?
🤦‍♂️😂😂🤣🤣🤣. Duuh! basi tuyapime haya mawazo yetu katika msingi wa ukweli/usahihi utakaouchagua tuone......

Mimi nikianza kwa msingi wangu wa afya ninaona wazo langu linao uelekeo wenye afya hivyo ni sahihi. Kumbuka hatuishii kwenye wazo. Wazo ni kwamba wazo la Mungu yupo ni wazo sahihi. Kwa hiyo ni sahihi kuwaza kuwa yupo, Mungu yupo na haitegemei wewe unawaza yupo au hayupo. Yupo.

Unaweza kuamua kuwaza kuelekea kushoto. Ukasema Mungu hayupo na ukaamua kuwa hilo wazo ni sahihi kwako. Basi na we utaendelea kuishi katika usahihi huo lakini unakuwa unaelekea kushoto. Na sio afya.
 
Post #7

"Basi nikakubaliana na kanuni zinazoelekeana na hilo halafu baadae ndio kugundua kumbe hii ndio ipo katika filosofia kubwa kabisa aliyoileta Yesu iliyosema ' We are of God our Father, we ought to live for each other as brothers' Love God with all your mighty and your neighbour as yourself. Basi bila shaka huo ndio UKWELI."

Hapo umeongelea personal experience ambayo ukaitumia kuunganisha mambo mawili ambayo haya relate na kuweka hitimisho.

Personal experience ndio iliyowafanya watu waseme jua linatembea lakini leo hii mimi na wewe wote tunajua kua sio kweli.
Nilikubaliana nayo kwa kuwa;

Viungo vya mwili vikiishi kwa kanuni sisi ni wa mtu na tunaishi kwa ajili ya kila mmoja wetu - Tunapata afya katika mwili

Na jamii za watu zikiishi kwamba sisi ni wa mungu na tunaishi kwa ajili ya kila mmoja wetu - Tunapata afya katika civilization

Hitimisho langu lilikuwa la ki analojia kwa sababu mifumo miwili tofauti inaweza kutofautiana kabisa katika asili ya muonekano lakini kimsingi inafananishika tu ukitia akili vizuri. Personal experience imewekwa kwa kuwa uliniuliza maoni yangu mimi kama mimi.

Turudi kwako labda utusaidie, wewe ni kigezo gani unachotumia kama msingi wa kupima ukweli wa kuufuata wewe?
 
🤦‍♂️😂😂🤣🤣🤣. Duuh! basi tuyapime haya mawazo yetu katika msingi wa ukweli/usahihi utakaouchagua tuone......

Mimi nikianza kwa msingi wangu wa afya ninaona wazo langu linao uelekeo wenye afya hivyo ni sahihi. Kumbuka hatuishii kwenye wazo. Wazo ni kwamba wazo la Mungu yupo ni wazo sahihi. Kwa hiyo ni sahihi kuwaza kuwa yupo, Mungu yupo na haitegemei wewe unawaza yupo au hayupo. Yupo.

Unaweza kuamua kuwaza kuelekea kushoto. Ukasema Mungu hayupo na ukaamua kuwa hilo wazo ni sahihi kwako. Basi na we utaendelea kuishi katika usahihi huo lakini unakuwa unaelekea kushoto. Na sio afya.
Unasema hatuishi kwenye wazo, at the same time unasema wazo la Mungu yupo ni sahihi

Hiyo haichanganyi sana

Kinachochanganya

Ni pale mwingine anapotumia principle hiyo hiyo ku refute hoja yako unamuona hayupo sahihi (ana changanya)
 
Nilikubaliana nayo kwa kuwa;

Viungo vya mwili vikiishi kwa kanuni sisi ni wa mtu na tunaishi kwa ajili ya kila mmoja wetu - Tunapata afya katika mwili

Na jamii za watu zikiishi kwamba sisi ni wa mungu na tunaishi kwa ajili ya kila mmoja wetu - Tunapata afya katika civilization

Hitimisho langu lilikuwa la ki analojia kwa sababu mifumo miwili tofauti inaweza kutofautiana kabisa katika asili ya muonekano lakini kimsingi inafananishika tu ukitia akili vizuri. Personal experience imewekwa kwa kuwa uliniuliza maoni yangu mimi kama mimi.

Turudi kwako labda utusaidie, wewe ni kigezo gani unachotumia kama msingi wa kupima ukweli wa kuufuata wewe?
Umeanza na viungo vya mwili ukatafutiza tafutiza hoja mpaka hatuelewi umefikaje kuhusianisha hiyo process na habari za Mungu

Hiyo ni Irrelevant conclusion (Ignorantio Elenchi)

Unafanya assumpition sehemu ambayo inakuhitaji uweke uthibitisho

Sala la afya ya mtu sio makadirio linathibitishika unaweza kwenda kituo chochote cha afya kufanya diagnosis na ukajua hali ya afya yako

Kwanini swala la uthibitisho wa Mungu lisipitie mfumo huo wa vipimo na badala yake litegemee afya ya mtu (kitu ambacho hakina mahusiano na kuthibitisha Mungu) kuwa ndio sababu?

Sasa consider kwamba ni muislamu anataka umthibitishie Yehova yupo na kuwa Allah ni Mungu wa kutungwa tu

Akipinga uthibitisho wako kuwa sio wa kweli, utamuambia huna afya?

Now geuza kibao assume ndio muislamu anaitumia hoja hiyo kukushawishia Allah yupo na Mungu wako katungwa na watu tu, utakubali?
 
Unasema hatuishi kwenye wazo, at the same time unasema wazo la Mungu yupo ni sahihi
Bro nilisema hatuishii, Ina maana wazo ni mwanzo tu kuna muendelezo wake. Hatuishii kuwaza tu wazo tunaendelea nalo hadi tunaliishi. Sijakataa kwamba hatuyaishi mawazo yetu. Hapana. Mimi ni advocate wa nadharia kwamba tunayaishi mawazo yetu haswaa.
 
Sasa consider kwamba ni muislamu anataka umthibitishie Yehova yupo na kuwa Allah ni Mungu wa kutungwa tu

Akipinga uthibitisho wako kuwa sio wa kweli, utamuambia huna afya?

Now geuza kibao assume ndio muislamu anaitumia hoja hiyo kukushawishia Allah yupo na Mungu wako katungwa na watu tu, utakubali?
Kumpa majina Mungu ni kujaribu tu kumbinafsisha. Ona athari zake umeanza kuwalinganisha Allah na Yehova wakati hayo ni majina tu jamii fulani ziliamua kumpa Mungu.

Jina halihitajiki kwa kuwa yeye ni mmoja, ukiona unatafuta jina ujue unataka kumtofautisha na wengine, kwa hiyo bila kujitambua unakuwa umeshaanza kumfananisha mungu wako na mungu mwingine. Tayari unaivunja dhana nzima ya Mungu. Mimi sina shida na jina kikundi fulani kinalomuita Mungu shida ipo tu kwenye sifa wanazompatia huyu Mungu. Sina haja ya kubishana na muislamu maana wote wakristu na waislamu tunamuabudu Mungu mmoja Mwenyezi Muumbaji wa vyote.
 
Umeanza na viungo vya mwili ukatafutiza tafutiza hoja mpaka hatuelewi umefikaje kuhusianisha hiyo process na habari za Mungu

Hiyo ni Irrelevant conclusion (Ignorantio Elenchi)

Unafanya assumpition sehemu ambayo inakuhitaji uweke uthibitisho
Ilikuwa analojia bro, analogy. Kwanza tuanze na swali kwamba je unakubali kwamba viungo vya mwili vikiifuata hiyo principle ni jambo sahihi. Yaani vikikubali kuwa chini ya mtu na kutumikiana vyenyewe kwa vyenyewe. Je hicho ni kitu sahihi?

Je unahisi viungo vya mwili vikiamua kuishi vinavyotaka bila kujali mtu anataka nini ni jambo sahihi? Je vikiamua kujikusanyia na kuzitumia rasilimali za mwili kibinafsi utakuwa na amani? Je vikiamua kukua tu bila kujalinukuaji huo unamsaidia mtu na wenzake kinamna yoyote utakuwa na amani au utamaindi? Kwa nini kizuri kwa mwili kisiwe kizuri kwa universe? Kwa nini kibaya kwa mwili kisiwe kibaya kwa universe.

Tena umenikumbusha kitu kuhusu imani na uhalisia wa imani. Ngoja nilete a bold statement hapa nitasema; 'Vile mtu anaishi na kuamini kuwa jamii ndivyo ilivyo, au usahihi anaouamini katika jamii basi ndio hivyohivyo seli na viungo vya mwili wake vinavyoishi na kuamini kuwa mwili ndivyo ilivyo'. Huu mimi nitaita uthibitisho wa kuwa imani ni kitu halisi na madhara yake yanapimika kiafya.

Na kama umekataa au umepuuzia afya kutumika kama kigezo cha kuthibitisha ukweli na usahihi wa jambo, basi naomba utuambie wewe ni kigezo gani tukitumie kuthibitisha mambo yote? kupima ukweli wa mambo ili tukitumie hicho badala ya afya tuone
 
Bro nilisema hatuishii, Ina maana wazo ni mwanzo tu kuna muendelezo wake. Hatuishii kuwaza tu wazo tunaendelea nalo hadi tunaliishi. Sijakataa kwamba hatuyaishi mawazo yetu. Hapana. Mimi ni advocate wa nadharia kwamba tunayaishi mawazo yetu haswaa.
Kama wazo ni mwanzo kwanini liambatane na hitimisho?
 
Kumpa majina Mungu ni kujaribu tu kumbinafsisha. Ona athari zake umeanza kuwalinganisha Allah na Yehova wakati hayo ni majina tu jamii fulani ziliamua kumpa Mungu.

Jina halihitajiki kwa kuwa yeye ni mmoja, ukiona unatafuta jina ujue unataka kumtofautisha na wengine, kwa hiyo bila kujitambua unakuwa umeshaanza kumfananisha mungu wako na mungu mwingine. Tayari unaivunja dhana nzima ya Mungu. Mimi sina shida na jina kikundi fulani kinalomuita Mungu shida ipo tu kwenye sifa wanazompatia huyu Mungu. Sina haja ya kubishana na muislamu maana wote wakristu na waislamu tunamuabudu Mungu mmoja Mwenyezi Muumbaji wa vyote.
Kwanza kusema Mungu ni mmoja ila ni majina ya namna watu wanavyotofautiana kumuita huo ni uwongo.

Mtu anayeelezea sifa za panga huwezi kumuweka kundi moja na mtu anayeelezea sifa za bunduki kwa kigezo cha kwamba zote ni silaha utofauti ni majina tu.

Kusema Allah ambaye ana pepo yenye bikra 72 kwa wanaume, mwenye kutoa adhabu ya kaburi, aliyempa uwezo muhammad kugawanyisha mwezi vipande viwili na kisha kuurudisha, aliyempa uwezo muhamad kupaa angani kwa farasi (buraq), ambaye anasema majini ni viumbe wake na tena wanamuabudu, ambaye anakataza watu wake wasiabudu Mungu tofauti na yeye (akiwemo Yehova)

Mungu huyo kusema ndio huyo huyo anayeitwa Yehova anayeabudiwa na wakristo ambaye ana pingana na kutofautiana kwenye mambo mengi na Allah kuwa wote hao ni Mungu mmoja itakuwa ni uwongo.

Kifanya hivyo ni sawa na kulazimisha maelezo kuhusu bunduki pamoja na sifa zake kusema ni kitu kimoja na panga kwa kigezo cha silaha
 
Mfano wako nimeuelewa, na maelezo yako ya juu nimeyapata. Yanaonesha tu hujain'gamua kabisa hii dhana ya kwamba Muumbaji wa vitu vyote ni mmoja [prime source]. Kusema Mungu na kusema silaha ni vitu viwili tofauti maana Mungu ni mmoja ila silaha zipo nyingi japo vyote ni vyeo.

Sasaa sisi baadaye kutokana na mafunuo na jinsi uelewa wetu unavyokua tunazidi kumpa/kuipa sifa tofautitofauti huyo/hiyo Muumba kila mtu kwa uelewa wake.

Na binafsi sijakataza wala kumlazimisha mtu akiri sifa ninazotaka mimi bali nimesemaa.... kila mmoja kwa imani yake kwa kukiri kwake ndiyo anapokea maisha kwa jinsi yake. Imani haiishii kwa mungu wako tu. Hata kama ukiamua kuwa ni energy fulani, kani, ni fujo au ni jini basi maisha yako yataendana na huo ukweli uliouamua kuufuata. Kulingana na sifa ulizoamua kuzipa hizo kani zinazoongoza maisha yetu.

Atheist msiogope, maana kutokana na nadharia hii kitu unachoamini hakisumbui sana bali sifa zake. So atheist anaweza kusema ni kani, au ni energy ila ni energy/kani yenye akili na upendo kwa mfumo inayojua kubalansi mambo- tayari anakuwa salama. Tena huwezi jua labda huyo ndio akawa karibu zaidi na mungu mwenyewe kuliko yule aliyejiamulia kwamba tunaongozwa na babu mwenye madevu na hasira nyingi
 
Mfano wako nimeuelewa, na maelezo yako ya juu nimeyapata. Yanaonesha tu hujain'gamua kabisa hii dhana ya kwamba Muumbaji wa vitu vyote ni mmoja [prime source]. Kusema Mungu na kusema silaha ni vitu viwili tofauti maana Mungu ni mmoja ila silaha zipo nyingi japo vyote ni vyeo.

Sasaa sisi baadaye kutokana na mafunuo na jinsi uelewa wetu unavyokua tunazidi kumpa/kuipa sifa tofautitofauti huyo/hiyo Muumba kila mtu kwa uelewa wake.

Na binafsi sijakataza wala kumlazimisha mtu akiri sifa ninazotaka mimi bali nimesemaa.... kila mmoja kwa imani yake kwa kukiri kwake ndiyo anapokea maisha kwa jinsi yake. Imani haiishii kwa mungu wako tu. Hata kama ukiamua kuwa ni energy fulani, kani, ni fujo au ni jini basi maisha yako yataendana na huo ukweli uliouamua kuufuata. Kulingana na sifa ulizoamua kuzipa hizo kani zinazoongoza maisha yetu.
Mafunuo ni madai sio uthibitisho kama mafunio yangekuwa ukweli basi leo hii tungekuwa na universal ufunuo ambao unakubalika na kila mtu

Uwepo wa mafunuo ambao unapingana na mafunuo mengine ni ushahidi kuthibitisha mafunuo sio njia sahihi ya taarifa za kweli kuhusu madai fulani (Mungu)
 
Nisingependa huu uzi uanze kuwa wa thibitisha Mungu yupo au vitu kama hivyo.

Huu uzi umelenga kusema kuwa imani yako ndiyo inayokuponya, na kwa kusema hivyo tunakubaliana kuwa imani yako inaweza kuwa inakuangamiza bila kujua pia!

Ningependa apatikane mtu afanye utafiti binafsi [hata kwa kugooglegoogle] kuona kama kuna uhusiano kati ya ugonjwa wa multiple sclerosis au magonjwa ya kupooza na imani ya mtu. Binafsi nilifuatilia hilo jambo kwa kuwa inspired na bwana Stephen Hawkings. Natamani mtu mwingine achunguze independently aje anipinge au akubali maana mimi labda mimi niliathiriwa na bias! unajuaje?
Stephen_Hawking_2015.jpg
 
Mafunuo ni madai sio uthibitisho kama mafunio yangekuwa ukweli basi leo hii tungekuwa na universal ufunuo ambao unakubalika na kila mtu

Uwepo wa mafunuo ambao unapingana na mafunuo mengine ni ushahidi kuthibitisha mafunuo sio njia sahihi ya taarifa za kweli kuhusu madai fulani (Mungu)
Kuna shida kadhaa kwenye funuo mbalimbali zinazoweza kuleta mkanganyiko baadaye mfano;
1. Ufunuo anaupokea nabii lakini unakuwa hauna lugha inayotosha kuueleza kwa wakati huo mfano 'nabii angefunuliwa kuhusu ujio wa smatiphoni miaka ya zama hizo angewaambia watu wake---naam tazama vijana wao walitembea kutwa nzima wakitazama mawe bapa meupe yenye kun'gaa sana😂😂 [kuna memba jf alitoaga huu mfano. hongera kwake]
2. Nabii anapokea vizuri na anawasilisha vizuri ila wale wanaosambaza wanakuja na matakwa yao binafsi. Mfano unajuaje kama hiyo ya mabikira 72 kuwa ni 'invention' ya jenerali kuwapa motisha watu wake? Na unajuaje kama ile 'mkauwe wote wazee, watoto, wababa' labda ilimixiwa na matakwa binafsi ya kulinda tamaduni fulani?
3. Kiwango cha kiroho cha wanaopokea na mambo waliyoyajua kabla mfano 'Kuja kwa masihi picha waliyoijenga ya mkombozi wa kivita na mkombozi akaja akawa wa kiroho japo wote [dini zote] tulikubaliana anakuja mwokozi; kila mmoja alikuwa na picha yake.
.....Na mengine mengi
 
Japo unaendelea kubisha vitu fulani, tukubaliane kuwa wewe umeamua kuchukua stance ya passive aggressor. Yaani hushambulii ila unasubiri kitokee kitu pointi ndio ukishambulie wewe mwenyewe huna pointi.

Kwa hiyo nikiacha kuweka pointi tunabaki hatuna cha kujadili bro Scars

Kama sio hivyo, basi ni kwa nini hadi hivi sasa hujatuambia kuwa; Kipi ndio kipimo cha msingi cha ukweli wa kitu? Ulilikataa wazo la kwamba Afya ndio kipimo cha msingi cha ukweli katika mfumo husika. Bila kutuletea mbadala why?
 
Nabii anapokea nini kutoka wapi?

Elezea huo mchakato kwa uthibitisho
 
Nisingependa huu uzi uanze kuwa wa thibitisha Mungu yupo au vitu kama hivyo.

Huu uzi umelenga kusema kuwa imani yako ndiyo inayokuponya, na kwa kusema hivyo tunakubaliana kuwa imani yako inaweza kuwa inakuangamiza bila kujua pia!

Ningependa apatikane mtu afanye utafiti binafsi [hata kwa kugooglegoogle] kuona kama kuna uhusiano kati ya ugonjwa wa multiple sclerosis au magonjwa ya kupooza na imani ya mtu. Binafsi nilifuatilia hilo jambo kwa kuwa inspired na bwana Stephen Hawkings. Natamani mtu mwingine achunguze independently aje anipinge au akubali maana mimi labda mimi niliathiriwa na bias! unajuaje?View attachment 2205135
Ed Dobson alikuwa ni mchungaji ambaye alikubalika mpaka 1993 akaitwa paster of the year

2002 alipata ASL kama aliyosafa hawking

Ulitaka kusema nini na conspiracy yako?

Kwamba ASL ilimpata hawaking kwasababu hakuamini Mungu?

So ushapata majibu kwamba hata ukiamini Mungu hauko salama pia?
 
Japo unaendelea kubisha vitu fulani, tukubaliane kuwa wewe umeamua kuchukua stance ya passive aggressor. Yaani hushambulii ila unasubiri kitokee kitu pointi ndio ukishambulie wewe mwenyewe huna pointi.

Kwa hiyo nikiacha kuweka pointi tunabaki hatuna cha kujadili bro Scars

Kama sio hivyo, basi ni kwa nini hadi hivi sasa hujatuambia kuwa; Kipi ndio kipimo cha msingi cha ukweli wa kitu? Ulilikataa wazo la kwamba Afya ndio kipimo cha msingi cha ukweli katika mfumo husika. Bila kutuletea mbadala why?
Vitu navyo kubishia wewe naamini vikitumiwa na mtu wa dini nyingine kwa namna tofauti kama njia ya kuelezea ukweli wa dini yake kukuthibitishia dini yako ni uwongo nahakika utabisha tena huwenda ukakosa hata busara ukamtukana na kumtukana huyo mtu

Kama unaona hoja ya kusema afya ni reasonable ebu ipindue hiyo hoja iww inaelezea tukio la muhammad kupasua mwezi na wote ambao wanakubaliana na habari hiyo wako salama kiafya

Utakuabli kuwa hoja hiyo ni ya kweli kwaababu kanuni iliyotumika ni afya?

Najua huwezi kukubali

Nini kinachokufanya uone ni rahisi wengine kukubaliana na hoja zako?
 
Back
Top Bottom