Nadharia ya Likud kuhusu ndoto za utotoni ina make sense, nimeweka hoja kueleza kwanini

Nadharia ya Likud kuhusu ndoto za utotoni ina make sense, nimeweka hoja kueleza kwanini

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇

Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho.

Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya kinacho endelea kuhusu wewe katika ulimwengu wa roho.

Nikaongeza kuwa tafsiri ya hao muwaitao mitume na manabii wa sasa kwamba ukiota ndoto upo shuleni unafanya mitihani ama umerudi utotoni tafsiri yake ni kwamba eti kuna watu wanakuroga kukurudisha nyuma ni tafsiri batili iliyolenga kukutisha tu wewe muumini ili waendelee kukutawala na kukukamua. Hata Ole Gunnar ataguna.


TAFSIRI YA LIKUD.

Nikasema kwamba kwa sababu ndoto ni " kioo" kinacho kuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho kwa wakati huo..kama umejiona wewe umtoto katika ulimwengu wa roho basi tafsiri yake ni kwamba. Yupo baba ako ama mama ako ama wazazi wako, mabibi na mababu zako katika ulimwengu wa kiroho ambao wapo pamoja na wewe kwa hiyo kama umeota ndoto hii katika nyakati ambazo unapitia kipindi kigumu basi tafsiri yake inaweza kuwa kwamba universe inakuletea ujumbe kwamba usiwe na hofu, endelea kupambana. Ipo nguvu kubwa nyuma yako ambayo inakusapoti na kukulinda..

TAFSIRI YA LIKUD KUHUSU NDOTO UPO SHULENI UNAFANYA MITIHANI..


Ukijichunguza vizuri utagunfua kwamba ndoto hii utaiota katika kipindi ambacho unapitia magumu ambayo hata hivyo ugumu wake umeutengeneza wewe mwenyewe kwenye akili yako yani wewe ndio umeamua jambo hilo liwe gumu.. Ndoto hii inapokujia inakukumbusha masomo ambayo uliyasoma lets say sekondari na ambayo hukuyatilia maanani kuya apply kwenye maisha yako. Ulisoma kukariri tu ulipomaliza ukatupa vitabu as long as tayari umepata vyeti ..

MFANO WA NDOTO YA UTOTONI, SITUATION UNAYO PITIA KWENYE MAISHA NA TAFSIRI HALISI YA NDOTO HIYO.


Katika ulimwengu halisi, kuna mwanamke anakusumbua nafsi yako and vice versa ( mwanaume kwa wanawake)

Umechanganyikiwa unafikiri hata kujidhuru au kumdhuru mwanamke huyo.

Ndoto inakuja usiku upo sekondary form one unafanya mitihani au unasoma..


JINSI YA KUTAFSIRI NDOTO HII👉 Tafakariasomo kuhusu masomo uliya yasoma ulipokuwa form one halafu tafuta topic ambayo inaendana na situation yako.

Mimi nakupa mfano:👇👇
SOMO : CHEMISTRY.
TOPIC : MATTER.


Haya sasa nenda kwenye definition. WHAT IS MATTER?

MATTER IS ANYTHING THING THAT HAS MASS AND OCCUPY SPACE.


HAYA sasa jiulize huyo mpenzi anaekusumbua hivyo, Does she matter?

Does her life matters to You? Maisha yako yana muhitaji?

If she doesn't matter then wachana nae tafuta mwanamke mwingine. Ndio ujumbe unao pewa kwenye ndoto hiyo.
.......................

Mnao nishukuru baada ya kufuata ushauri wangu wa kuwatoa watoto wenu shule za EM na kuwaleta Kayumba, msiishie kunishukuru tu PM. Pigeni kampeni mitaani ili tuwasanue watanzania wenzetu ambao bado wanajistress kulipa hela nyingi kwenye shule za Ems
 
Back
Top Bottom