Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Fact

Miaka 11 Duniani ni sawa na mwaka mmoja ukiwa "hapo" Jupiter tu.

Yaani siku 11.8 hivi hapa duniani ni sawa na siku 1 ukiwa Jupita.

Kwa spidi ya 47,051Km/hr ya Sayari hiyo kulizunguka jua. (Spidi ya dunia ni 107,000 km/h)

Hii ni kwenye mfumo wa jua hili tunaloliona kutokea hapa Duniani...

Na ni kwa Gallaxy hii tuliyomo.

Kuna Gallaxy nyingi sana...

Bottom line:-
Nakubaliana na dhana ya kwenye Biblia na Qur'an.


 
Ina make sense.. n hiki ndio nachofahamu mimi, sema wengine ndio wanachukulia kama ndio jinsi mbinguni wanavyohesabu muda
 
Mkuu umrnipa mwanga acha nirndelee kuuliza.

Kwa maandunia inazunguka jua kwa spidi kuliko ambayo jupita inalizunguka jua,au nimeelewa vobaya mkuu...?
 
Sahihi, spidi ya dunia kulizunguka juna ni mara mbili na kidogo ya Jupita kulizunguka jua
Mkuu umrnipa mwanga acha nirndelee kuuliza.

Kwa maandunia inazunguka jua kwa spidi kuliko ambayo jupita inalizunguka jua,au nimeelewa vobaya mkuu...?
 
Sahihi, spidi ya dunia kulizunguka juna ni mara mbili na kidogo ya Jupita kulizunguka jua
Yaani kwa maana ya kwamba.

Dunia inatumia mda mwingi kulizunguka jua hivyo kufanya mzunguko uchelewe.

Wakati huo jupita inatumia mda mchache kulizunguka jua hivyo kufanya mzunguko uwahi kukamilika.

Mfano..

Juma anatumia dakika 5 kuzunguka uwanja mita 300.

Wakati huo omari anatumia sekunde 5 kuzunguka uwanja wa mita 300.

Kwa hiyo tunaweza kusema kwamba juma anazunguka uwanja muda mrefu (5dkk) wakati huo omari anazunguka uwanja muda mfupi (secs)

Hivyo ni kwamba

Dakika 5 za juma kuzunguka uwanja wa 300m ni sawa na sekunde 5 za juma kuzunguka uwanja wa 300m.

Kama nimeelewa ndo dunia na jupiter viko hivyo mkuu?

Naomba niendelee kuuliza tena..

Ili kupata siku moja hapa duniani ni kipi kinatokea yaani jua anazunguka dunia ama dunia ndo anamzunguka juaa...?
 
Unapotea

Ni hivi, hiyo ni speed tu.

Orbit ya dunia radius yake ni ndogo kuliko orbit ya Jupita (kutokea katikati ya Jua)

Hii ina maana kuwa Jupita ana umbali mrefu sana wa kulizunguka Jua kuliko Dunia.

Elewa kwanza hapo halafu uliza swali
 
Note

Wastani wa nusu kipenyo kutoka Jua hadi obit ya dunia ni kilomita 150 hivi ambapo ya jupita ni km 780 hivi
 
Unapotea

Ni hivi, hiyo ni speed tu.

Orbit ya dunia radius yake ni ndogo kuliko orbit ya Jupita (kutokea katikati ya Jua)

Hii ina maana kuwa Jupita ana umbali mrefu sana wa kulizunguka Jua kuliko Dunia.

Elewa kwanza hapo halafu uliza swali
Yes hapo nimeelewa vizuri mkuuu.
Ina maana ya kwamba dunia yupo karibu na jua kuliko jupita hivyo akizunguka anatumia mzunguko mfupi kutokana na udogo wa radius yake si ndio mkuu...?

Samahani kwa usumbufu mana nimejifunza mengi kupitia humu kwa njia hizi
 
Hapa nakubaliana nawe boss kabisa Hapa pia nunga mkono hoja NOPE. Hapa sikubaliani nawe, kwamba tangu dunia iumbwe ni miaka 600? kwa ushahidi upi huo, hebu niwekee hapa uwe wa kihistoria au kidini.kwani dunia ina umri gani hasa??? Yesu alisema kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa ambapo yeye atakuja kuchukua kanisa lake, lakini wewe naona hapa unaniambia kua yesu aliwambia ni miaka 7000 ndio itakua mwisho wa duniani.How? Yesu tu alitoa angalizo juu ya siku za mwisho kwa yale yatakayo kua yanatokea..But beleive me yanayotokea sasa hayajafika hata robo ya yaliyotokea kipindi cha NEPHELISM ERA. ni kweli namba saba ni namba ya ukamilifu kwa Mungu ila haithibitishi kwamba kwa hesabu za kibinaadamu miaka 7000 ndio itakua mwisho wa dunia..hakuna mwanahesabu aliyekokotoa hizo hesabu akapatia... Hata yule aliyejiita nabii (Ellen G White) alijidai kufanya hesabu zake kutabiiri mwisho wa dunia ila aliishia kuaibika Kwa hesabu zipi zinaonyesha yesu alizaliwa miaka 400 baada ya dunia kuumbwa? ni kweli ni miaka 2019 sasa toka azaliwe.Hiyo miaka yako 700 bado yanichanganya kabisa
hebu pitia huu uzi wangu labda unaweza kufahamu kwa kiasi jinsi tarehe ya kuzaliwa na kufa kwa yesu ilivyo kokotolewa

Yaani hapo ndio unajichanganya sasa, una uhakika hii article umeandika wewe? huko umesema kua bado miaka 900 dunia kufika mwisho na hapa unaniambia kua hakuna mtu ajuaye siku wala saa.. kama hakuna mtu ajuye siku wala saa, hio miaka 900/1000 imetoka wapi?? Fafanua!
Ni kweli Yesu ndio binaadamu maarufu zaidi kuumbwa..ukitaka kujua oradha ya watu maarufu zaidi soma uzi wangu huu
 
Mkuu umesema muda ni nini?

Kwa mujibu wa nini unaleta tafsiri ya muda..?

Tofautisha kati ya Muda na nyakati.
Tofautosha kati ya siku na muda.siku ina muda lakini muda unaweza usiwe ni siku.
Hakuna sehemu niliyotoa definition ya Muda na kama nimeweka tafsiri itakua kwa mujibu wa mimi mwenyewe ninavyoelewa kuhusu muda.

Uwe una reason mkuu sio ubishe ili kubisha tu haya.. Muda na nyakati ni kitu kimoja (Time(s) au tufanye nimekuelewa Time (muda) ni interval isiyo fahamika kati ya matukio mawili . Period(Nyakati/kipindi) ni interval inayojulikana kati ya matukio mawili AU. Time is a fundamental unit of measure wakati period ni matumizi ya muda. Ndio maana twasema period of Time.

sasa nitofautishe nini tena wakati ushatofautisha mwenyewe hapo juu
 
Usipanick kaka,au unataka tusihoji mkuu kuwa mpole basi au unanitisha nisirudi tena Mkuu..?
 
Ili iwe siku moja hapa duniani tunaipataje hiyo siku?

Yani tunaipata siku kupitia nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…