Nadharia ya Usalama wa Taifa (TISS) ibadilike kuanzia sasa, Taifa lipo hatarini

Status
Not open for further replies.
Tiss umekutana nao wapi hata uweze kutoa maoni ya kuiboresha tiss?

Iwe kwania njema au mbaya, haihitaji kukutana nao ndipo utoe maoni, lakini ufahamu wa haya na uzalendo wangu kwa taifa ndivyo msingi wa kutoa maoni ya kujenga kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama,

Wiki kesho nitalichambua jeshi la wananchi wa Tanzania na nitaweka mapebdekezo yangu, karibu kaka tuboreshe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
 
Mkuu unipe copy ili nami niome maoni yako......
 
Police wanamamlaka ya kupeleleza, kubaini, kutambua, kuzuia,kutekeleza ku enforce, police ni zaidi ya JWTZ, TISS, PRISON SERVIC kwa mamlaka ya KISHERIA katika taifa hili la tz lakini wameshikwa mikono na watawala/wanasiasa hivyo hata nyie watu wa TISS msifikiri basi mkipewa mamlaka ya ku enforce basi mtafanya mambo makubwa kimsingi ni hamna kitu kwa sababu watawala hawa taki mfanye vizuri
 
TISS+JWTZ hawa jamaa wapo vizuri sana and they are strong but msiojua ndo huwa mna talk shit.
 
TISS+JWTZ hawa jamaa wapo vizuri sana and they are strong but msiojua ndo huwa mna talk shit.

HAKUNA LOLOTE. Kama wajo vizuri mbona madudu ni mengi na yanafanyika wakiwepo? jenerali mboma ndiye alikuwa mkiti wa bodi ya tanesco wakti zinachotwa za escrow? awa ni wezi tu. kila deal ni wahusika wakuu
 

Tumekusikia tutafanya mabadiliko
 
Wako vizuri kivipi? tunachoona ni hawa jamaa kuwa watu wa sifa nyingi ambazo haziendani na military capabiliy yao! lini uliona nchi maskini iwena jeshi imara! vita si kitu kidogo kama mnavyo dhani! jeshi letu halina uwezo wa kupambana na economic warfare, biological warfare, chemical warfare n.k wanacho weza ni kuvunja tofari kwa kichwa tu
 

Nimekujambia ujue
 
Kufeli kwa mradi mkubwa wa DART ni kielelezo tosha kuwa TISS hawafanyi kazi ipasavyo. Tumewahi kuambiwa kuwa kipindi cha utawala wa Mwalimu ikitokea mtu ana mpango wa kupiga dili chafu, basi atapigiwa simu na ikulu hata kabla hajatekeleza mpango wake wakati kila kitu alifanya mafichoni.
Hivi TISS walikuwa wapi wakati watu wanavunja mkataba na Maximalipo ili waibe na kuhujumu mradi huu unaogharimu pesa za walipa kodi wa tz. TISS walishindwa kabisa kubaini hujuma zinazoendelea DART?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…