Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahitaji kufahamu jinsi ya kujiunga na taasisi ya usalama wa taifa(TISS)
Tatizo wabunge wengi wanapenda hoja zitakazowapa umaarufu kwa wapiga kura,tuanze na wabunge wa Chadema iwe moja ya ajenda bunge lijalo na specifically nimuombe mh Zitto arudishe tena hii ngoma nadhani madhara yaliyokwisha tokea yanaweza kuwa funzo kubwa kwetu na hawa wanasiasa.
nahitaji kufahamu jinsi ya kujiunga na taasisi ya usalama wa taifa(TISS)
Siku hizi imekuwa kazi kama kazi zingine, kama una ndugu au fogo yeyote huko utaingia, ni kuingizana tu kwa lengo la kupeana ajira. Zamani ndo kulikuwa na hiyo 'Jinsi ya kujiunga" ilikuwa ajira ya wito hasa, full of vetting
Taasisi hii ambayo ndio uhai wa taifa letu imefanya mengi ya kutukuka na yasiyomithirika hata kwa chembe ya haradali. Wadadisi wa masuala ya kijasusi wataungana nami kuwa TISS ndicho chombo pekee cha nchi hii kilichofanya kazi yake kwaufanisi mkubwa na kulifikisha taifa hapa lilipo, Naelewa wengi watanishangaa na kuhamaki, kwanini naisifia taasisi hii ambayo wengi wapo nayo mlengo wakushoto.
Kama si uimara wa taasisi hii leo tungalikuwa tunanena kwa lugha yake kila mmoja wetu hapa nchini.
Pamoja na kusimama imara kwa taasisi hii, yapo mambo ya msingi yanayo takiwa kuwekwa sawa ili taasisi hii iendane na mageuzi ya dunia ya leo hasahasa kuelekea 2015, mahuisho katika chombo hiki muhimu ni lazima yaguse nyanja zote kuanzialeadership,watendaji,teknolojia na sheria.
Sheria iliyounda chombo hiki inamapungufu kwa sasa kulingana na mageuzi ya kifikra na kiteknolojia,
Sheria hii inaififisha tasisi hii huku ikiruhusu siasa kujipenyeza ndani ya chombo hiki adhimu na muhimu kwa uhai wa taifa letu,
Mathalani sheria hiyo inasema, "taasisi hii itahusika/itajihusisha na kutambua/kubaini na kutoa ushauri tu"
Kwamaneno hayo tu, TISS imenyimwa nguvu ya mojakwamoja, kama zilivyo taasisi za wenzetu huko ughaibuni tulikozoea kuakisi kila kitu.
Hii inatoa fursa kwa viongozi wa kitaifa (wakisiasa) kuingiza wazo lao lolote walipendalo, liwe jema kwa taifa ama jema kwao binafsi. Lakini hatari zaidi inakuja pale watawala wanapoingiza itikati zao za kisiasa katika chombo hiki,
Bunge la Tanzania linayofursa ya kuihuisha sheria hii ili taasisi hii ya Usalama wa Taifa iwe huru na iwe na meno, yaani (ibaini na kuzuia yenyewe), Hata hivyo nafikiri ihuishwe sheria hii imlazimishe kiongozi anayeshindwa kuchukua hatua kwa ushauri wa taarifa sahihi za usalama au anayechukua hatua zisizotakiwa wakati ana taarifa na ushauri sahihi wa taasisi hii hawajibike. Ili hii iwe na maana chombo hiki kinatakiwa kiimarishwe lakini pia kitenganishwe na siasa ya kivyama.
Kwa taifa ambalo ni imara,Usalama wa Taifa ni taasisi inayotakiwa kufanya kazi kwa weledi kuliko idara yoyote ile.Weledi wake hautakiwi kutiliwa shaka yoyote kwa viwango vya kitaifa,kiakanda(regional) au kimataifa kwa maana pana zaidi.TISS inatakiwa kutengeneza mfumo ambao ni more sophisticated katika kufanya information sharing wakati huo huo ikijaribu kuimarisha vitengo vilivyopo ili kutimiza malengo ya idara na taasisi kwa ujumla kama ilivyo mifumo ya mataifa makubwa kama mkakati wa ulinzi na usalama wa Marekani,Uingereza,Pakistan,Is rael,Afrika Kusini,China,India na Canada
Ingawa miakati mingi ya mataifa yaliyoendelea imekua sensitive zaidi kwenye maslahi yao ya kiuchumi na ushindani wa nguvu na mamlaka kimataifa(Power Interests) lakini kwa taifa lililofikisha umri wa miaka 50 ni lazima liwe na mtazamo imara na kwa kuanzia ni lazima tungeanza na kanda yetu ya Maziwa makuu,Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla, hii nikwakuwa Tanzania tumeingia kuwa taifa tajiri zaidi barani afrika kwa sasa baada ya ugunduzi wa GESI yakutosha inayokadiriwa kuweza kulihudumia bara la ulaya kwa miaka 100 bila kukoma.
Kwa mfano tuna washindani wetu kiuchumi na power struggle hapa east afica ambao ni Kenya.Hatujaweza vya kutosha kwenye Economic intelligence kule Kenya inagawa wao wamewekeza hapa kwetu.Leo hii Kenya ina-export TANZANITE,Wana-Export gold n.k.Balance of trade kati ya Tanzania na Kenya ni subject of Economic intelligence.tunapotunga sera zetu za kiuchumi tunatakiwa tutumie taarifa za kiinteligesnsia kwa kutumia wataalamu waliobobea na pia tuangalie possible scenarios na move za washindani wetu.Katika maofisa ubalozi wetu walioko Kenya tujiulize ni wangapi wenye uwezo kusimamia maslahi yetu ya kiuchumi hapa EAC au ukanda kupitia economic power house(Kenya) katika ukanda huu?
Kuna mgogoro kati ya dola na sarafu yetu.Je hakuna uwezekano kwamba dola zimekua zikinunuliwa kwa wingi na kuwa smuggled kwenda Kenya ili kuhujumu uchumi wetu na ku-frustrate fisical na monetary policy zetu?
Usalama wetu bado unahitaji mageuzi kutegemeana na matakwa ya kisheria na kuboresha malengo ya TISS ili iwe modern zaidi
Malengo ya TISS kulingana na trend ya dunia kwa sasa na mahitaji ya taifa tunakopitia kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni yaegemee katika kutabiri(si utabiri wa majini/tunguri bali utabiri wa kisayansi),Kupenya,na kuwahi matukio ya hatari kwa maslahi na usalama wa taifa letu,na kuwasaidia wale wanaotekeleza sera yetu ya ulinzi na usalama,kulinda taifa na watu wake,utekelezaji wa sheria na kulinda maslahi na sera zetu kitaifa bila kuathiriwa na ushawishi au hatari yoyote kutoka ndani na nje ya taiafa letu na kulinda malengo yetu kama jamii kwenye Nyanja za kimataifa(jamii nyingine)
Malengo makuu yanatakiwa kujikita katika:
Mosi,Kuongeza nafasi na umuhimu wa idara ya mahakama na vyombo vya kutoa haki.Lengo hapa linatakiwa kuwa juu ya kuunganisha idara za mahakama,wizara ya mambo ya ndani na vitengo vyake kwa kuzingatia upeanaji wa taarifa huku haki za msingi za kiraia zikilindwa pamoja na uhuru wake tofauti na ilivyo sasa ambako TISS inatuhumiwa kutumika kuhujumu haki za kiraia kwa visingizio lukuki.Lengo kuu liwe kulinda haki na uhuru wa watu bila kuathiri maslahi ya jumla.Hili linahitaji ushirikiano kuanzia serikali kuu,mikoa,wilaya,majimbo ya uchaguzi,kata na hata ngazi ya mitaa pamoja na sekta binafsi
Pili,Utengenezwe utamaduni mpya wa kuahamasisha mawazo mbadala na matumizi ya weledi(professionalism/expertise):Kubadili utamaduni ndani ya TISS ni muhimu sana ili kuepuka mimosa ya kimkakati. It is necessary to create an intellectual culture that promotes discussion as well as dissenting opinion. It will require the use of collaborative technology, where subject expertise is maximized, increased cross-agency communication, and the exploration of alternative analysis
Tatu,Kurahisisha zaidi ukusanyaji wa taarifa za kintelijensia:TISS haina budi kuwa mbele katika matumizi ya teknolojia na pia ku-update wataalamu wake kitaaluma na katika matumizi ya zana za kisasa zaidi ili kurahisisha ukusanyaji huo kutoka Open-sources na kutoka Human-sources
Nne,Kuajiri watu kulingana na uwezo na taaluma zao na pia kuajiri watu ambao tayari wana ajira kwenye vitengo vingine lakini walipwe vizuri kwa ajili ya kazi ya usalama ili kupunguza gharama za kupachika watu wapya katika idara,mashirika na taasisi nyeti nchini.Pamoja na hili kitu cha muhimu watu hawa ni lazima wawe na sifa zinazofanana (common attributes) katika ujanja,uwezo wa hali ya juu na haraka katika utendaji huku maadili ya juu kabisa katika vigezo vya utendaji katika idara hii vikizingatiwa
Tano,TISS ibadili utamaduni wa kuhitaji-kujua kwenda Kuhitaji-kutoa taarifa(changing from the culture of need-to-Know to need-to-share):Ili kuongeza ushirikiano na ufanisi katika kila ngazi ni lazima mtazamo wa idara hii ubadilike na suala la kutoa taarifa liwe ndiyo njia kuu ya kufanikisha malengo ya idara katika ngazi zote kwa hiyo kuna haja ya kuangalia jinsi taarifa zinavyofika kwa ubora unaotakiwa,kwa usahihi na kwa muda muafaka na hili ni muhimu na litasaidia zaidi kuwa karibu na watunga sera(policy makers)
Sita,Kuimarisha na kupanua zaidi uhusiano kati ya TISS na washirika wa ndani ya nchi na vitengo vingine vya kijasusi vya mataifa ya nje:Hii ni kwa kuwa tunaweza kuwa na common threats kwenye uchumi,kiitikadi,kiutamaduni,k iulinzi n.kHata hivyo taarifa za kijasusi kutoaka kwa washirika wetu ni lazima ziangaliwe kwa umakini wa hali ya juu na pia tuwe na taarifa zetu ambazo tunaweza kulinganisha na taarifa za washrika wetu.Hizi kwa kijasusi zinaitwa Corroboration codification
Saba,kitengo kidogo kabisa cha mwisho ndichokinachotakiwa kuwa na acces ya taarifa nyeti lakini kitengo hicho kiwe scrutinized kwa hali na mali.Hata hivyo nitajadili kuhusu juu ya mfumo wetu mbovu wa counterintelligence
Nane,Kujenga mfumo ambao ni uniform zaidi katika utekelazi kisayansi na kiteknolojia,Ni lazima sasa idara iwe centralized katika kutoa maelekezo na iwe more decentaliced katika utekelezaji kwa mtindo ambao unaitwa pyramid execution.unified research itumike ili kuongeza ushirikiano na idara mbali mbali
Tisa,Mfumo wa kupongeza na kuzawadia utumike kuongeza performance
Kumi,mtindo wa kutumia miongo utumike lakini zaidi kwa haraka mtindo wa kutumia siku utumike badala ya miaka.Kwa mfano 720 days plan itumike badala ya miaka 2,180 days pla itumike badala ya 6 months plan kwa ajili ya monitoring na kuepuka urasimu na uvivu usio wa lazima
Pia ni vyema kutokana na power struggle ya ukanda tuunde vitengo vya ujasusi vya nje.kitengo hiki kifanane kwa muundo ingawa kutakua na marekebisho kidogo lakini kifanane na kitengo cha RAW cha india ambacho kiliundwa baada ya vita ya India na China.kabla ya hapo kulikua na kitengo cha IB ambacho kilikua na miaka 120 lakini hicho kilitumika kuchunguza watu zaidi na taasisi za kisaiasa.waingereza walikitumia kuwachunguza akina Mahatma Gandhi,Azad na Nehru zaidi.Kitengo cha RAW kinatumika kwa ajili ya military Intelligence na financial intelligence.Kuna haja ya kupima maofisa ubalozi wetu wanaopelekwa nje pamoja na Mwambata wa jeshi katika balozi zetu(defence attaché) kulingana na sera yetu.
Naiona hatari iliyombele yetu, hasa ya kisiasa, kiuchumi na machafuko ya kiroho.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki TISS.
elimu inayotakiwa je?
[font=&]kwa taifa ambalo ni ambitious,usalama wa taifa ni taasisi inayotakiwa kufanya kazi kwa weledi kuliko idara yoyote ile.weledi wake hautakiwi kutiliwa shaka yoyote kwa viwango vya kitaifa,kiakanda(regional) au kimataifa kwa maana pana zaidi.tiss inatakiwa kutengeneza mfumo ambao ni more sophisticated katika kufanya information sharing wakati huo huo ikijaribu kuimarisha vitengo vilivyopo ili kutimiza malengo ya idara na taasisi kwa ujumla kama ilivyo mifumo ya mataifa makubwa kama mkakati waq ulinzi na usalama wa marekani,uingereza,pakistan,israel,afrika kusini,china,india na canada[/font]
[font=&]ingawa miakati mingi ya mataifa yaliyoendelea imekua sensitive zaidi kwenye maslahi yao ya kiuchumi na ushindani wa nguvu na mamlaka kimataifa(power interests) lakini kwa taifa lililofikisha umri wa miaka 50 ni lazima liwe ambitious na kwa kuanzia ni lazima tungeanza na kanda yetu ya maziwa makuu,afrika mashariki na afrika kwa ujumla.[/font]
[font=&]kwa mfano tuna washindani wetu kiuchumi na power struggle hapa east afica ambao ni kenya.hatujaweza vya kutosha kwenye economic intelligence kule kenya inagawa wao wamewekeza hapa kwetu.leo hii kenya ina-export tanzanite,wana-export gold n.k.balance of trade kati ya tanzania na kenya ni subject of economic intelligence.tunapotunga sera zetu za kiuchumi tunatakiwa tutumie taarifa za kiinteligesnsia kwa kutumia wataalamu waliobobea na pia tuangalie possible scenarios na move za washindani wetu.katika maofisa ubalozi wetu walioko kenya tujiulize ni wangapi wenye uwezo kusimamia maslahi yetu ya kiuchumi hapa eac au ukanda kupitia economic power house(kenya) katika ukanda huu?[/font]
[font=&]kuna mgogoro kati ya dola na sarafu yetu.je hakuna uwezekano kwamba dola zimekua zikinunuliwa kwa wingi na kuwa smuggled kwenda kenya ili kuhujumu uchumi wetu na ku-frustrate fisical na monetary policy zetu?[/font]
[font=&]usalama wetu bado unahitaji mageuzi kutegemeana na matakwa ya kisheria na kuboresha malengo ya tiss ili iwe modern zaidi [/font]
[font=&]malengo ya tiss kulingana na trend ya dunia kwa sasa na mahitaji ya taifa tunakopitia kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni yaegemee katika kutabiri(si utabiri wa majini/tunguri bali utabiri wa kisayansi),kupenya,na kuwahi matukio ya hatari kwa maslahi na usalama wa taifa letu,na kuwasaidia wale wanaotekeleza sera yetu ya ulinzi na usalama,kulinda taifa na watu wake,utekelezaji wa sheria na kulinda maslahi na sera zetu kitaifa bila kuathiriwa na ushawishi au hatari yoyote kutoka ndani na nje ya taiafa letu na kulinda malengo yetu kama jamii kwenye nyanja za kimataifa(jamii nyingine)[/font]
[font=&]malengo makuu yanatakiwa kujikita katika[/font]
[font=&]mosi,kuongeza nafasi na umuhimu wa idara ya mahakama na vyombo vya kutoa haki.[/font][font=&]lengo hapa linatakiwa kuwa juu ya kuunganisha idara za mahakama,wizara ya mambo ya ndani na vitengo vyake kwa kuzingatia upeanaji wa taarifa huku haki za msingi za kiraia zikilindwa pamoja na uhuru wake tofauti na ilivyo sasa ambako tiss inatuhumiwa kutumika kuhujumu haki za kiraia kwa visingizio lukuki.lengo kuu liwe kulinda haki na uhuru wa watu bila kuathiri maslahi ya jumla.hili linahitaji ushirikiano kuanzia serikali kuu,mikoa,wilaya,majimbo ya uchaguzi,kata na hata ngazi ya mitaa pamoja na sekta binafsi[/font]
[font=&]pili,utengenezwe utamaduni mpya wa kuahamasisha mawazo mbadala na matumizi ya weledi(professionalism/expertise):[/font][font=&]kubadili utamaduni ndani ya tiss ni muhimu sana ili kuepuka mimosa ya kimkakati. It is necessary to create an intellectual culture that promotes discussion as well as dissenting opinion. It will require the use of collaborative technology, where subject expertise is maximized, increased cross-agency communication, and the exploration of alternative analysis[/font]
[font=&]tatu,kurahisisha zaidi ukusanyaji wa taarifa za kintelijensia:[/font][font=&]tiss haina budi kuwa mbele katika matumizi ya teknolojia na pia ku-update wataalamu wake kitaaluma na katika matumizi ya zana za kisasa zaidi ili kurahisisha ukusanyaji huo kutoka open-sources na kutoka human-sources[/font]
[font=&]nne,kuajiri watu kulingana na uwezo na taaluma zao na pia kuajiri watu ambao tayari wana ajira kwenye vitengo vingine lakini walipwe vizuri kwa ajili ya kazi ya usalama ili kupunguza gharama za kupachika [/font][font=&]watu wapya katika idara,mashirika na taasisi nyeti nchini.pamoja na hili kitu cha muhimu watu hawa ni lazima wawe na sifa zinazofanana (common attributes) katika ujanja,uwezo wa hali ya juu na haraka katika utendaji huku maadili ya juu kabisa katika vigezo vya utendaji katika idara hii vikizingatiwa[/font]
[font=&]tano,tiss ibadili utamaduni wa kuhitaji-kujua kwenda kuhitaji-kutoa taarifa(changing from the culture of need-to-know to need-to-share):[/font][font=&]ili kuongeza ushirikiano na ufanisi katika kila ngazi ni lazima mtazamo wa idara hii ubadilike na suala la kutoa taarifa liwe ndiyo njia kuu ya kufanikisha malengo ya idara katika ngazi zote kwa hiyo kuna haja ya kuangalia jinsi taarifa zinavyofika kwa ubora unaotakiwa,kwa usahihi na kwa muda muafaka na hili ni muhimu na litasaidia zaidi kuwa karibu na watunga sera(policy makers)[/font]
[font=&]sita,kuimarisha na kupanua zaidi uhusiano kati ya tiss na washirika wa ndani ya nchi na vitengo vingine vya kijasusi vya mataifa ya nje:[/font][font=&]hii ni kwa kuwa tunaweza kuwa na common threats kwenye uchumi,kiitikadi,kiutamaduni,kiulinzi n.khata hivyo taarifa za kijasusi kutoaka kwa washirika wetu ni lazima ziangaliwe kwa umakini wa hali ya juu na pia tuwe na taarifa zetu ambazo tunaweza kulinganisha na taarifa za washrika wetu.hizi kwa kijasusi zinaitwa corroboration codification[/font]
[font=&]saba[/font][font=&],[/font][font=&]kitengo kidogo kabisa cha mwisho ndichokinachotakiwa kuwa na acces ya taarifa nyeti lakini kitengo hicho kiwe scrutinized kwa hali na mali.hata hivyo nitajadili kuhusu juu ya mfumo wetu mbovu wa counterintelligence [/font]
[font=&]nane[/font][font=&],kujenga mfumo ambao ni uniform zaidi katika utekelazi kisayansi na kiteknolojia,ni lazima sasa idara iwe centralized katika kutoa maelekezo na iwe more decentaliced katika utekelezaji kwa mtindo ambao unaitwa pyramid execution.unified research itumike ili kuongeza ushirikiano na idara mbali mbali[/font]
[font=&]tisa[/font][font=&],mfumo wa kupongeza na kuzawadia utumike kuongeza performance[/font]
[font=&]kumi[/font][font=&],mtindo wa kutumia miongo utumike lakini zaidi kwa haraka mtindo wa kutumia siku utumike badala ya miaka.kwa mfano 720 days plan itumike badala ya miaka 2,180 days pla itumike badala ya 6 months plan kwa ajili ya monitoring na kuepuka urasimu na uvivu usio wa lazima[/font]
[font=&]pia ni vyema kutokana na power struggle ya ukanda tuunde vitengo vya ujasusi vya nje.kitengo hiki kifanane kwa muundo ingawa kutakua na marekebisho kidogo lakini kifanane na kitengo cha raw cha india ambacho kiliundwa baada ya vita ya india na china.kabla ya hapo kulikua na kitengo cha ib ambacho kilikua na miaka 120 lakini hicho kilitumika kuchunguza watu zaidi na taasisi za kisaiasa.waingereza walikitumia kuwachunguza akina mahatma gandhi,azad na nehru zaidi.kitengo cha raw kinatumika kwa ajili ya military intelligence na financial intelligence.kuna haja ya kupima maofisa ubalozi wetu wanaopelekwa nje pamoja na mwambata wa jeshi katika balozi zetu(defence attaché) kulingana na sera yetu.[/font]
[font=&]kwa bahati mbaya sera yetu ya mambo ya nje tumeipigia kelele sana ifumuliwe.naamini mungu akitupa uhai chadema itakuja na sera bora zaidi ya mambo ya nje specifically kwa regions na strategic partners[/font]
Unamaanisha? tafadhali mkuu
Tatizo lako unaangalia mambo katika mawazo mgando wakati dunia ina evolve.
Nilikuwa naongea na Balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa kipindi hicho, Dr. Augustine Philip Mahiga, mwanadiplomasia aliyebobea ambaye aliwahi kuwa mkuu wa usalama wa taifa kabla hata usalama wa taifa haujarasimishwa, enzi za Nyerere. Kuhusu challenges za usalama za ulimwengu, na Tanzania, hususan in the wake of 9/11.
Dr. Mahiga, mmoja kati ya ma dokta wa ukweli ninaowaamini Tanzania ambaye akiongea mtu unamjua huyu ni msomi hata kabla hajakuambia "mimi ni Balozi Dr. Mahiga", akaniambia mataifa makubwa yana ajenda zao za usalama na ajenda hizi si lazima ziwe sawa na ajenda za mataifa madogo katika suala la usalama.
Tukazungumza sana jinsi gani swala zima la "food security" linavyokosa kuongelewa vizuri Umoja wa Mataifa kwa sababu tu mataifa makubwa yamekazania "terrorism" in the context of Al-Qaeda and similar threats.
Akajenga hoja, ambayo sikuweza kuipinga, kwamba huku nchi masikini kwetu njaa inaweza kuwa "terror" kubwa kuliko Al-Qaeda, na at least inatubidi tuipe kipaumbele angalau sawa na hizo habari za Al-Qaeda, kama si zaidi.
Alielewa "food security" as a part of "national security".
Sasa wewe unakuja na one track mind kufikiri tu kwamba "usalama wa taifa ni mashushushu, kazi yao ni upelelezi na ujasusi". Period. Huwezi kuona kwamba hata "food security" ni sehemu ya usalama wa taifa.
Na kama tuna ukame periodically, Usalama wa taifa unatakiwa kuandaa contingencies za kuweza kukabili ukame wakati wowote.
Na kwamba sehemu yoyote kukiwa na ukame ni failure ya food security ambayo moja kwa moja ni failure ya national security, hata in the context ya "a hungry man is an angry man" tu. Mitatizo kibao ya wananchi kuchoma moto nyumba za wabunge na wakuu wa mikoa ukiiangalia kwa juu juu utaona ni masuala ya failure ya usalama wa taifa katika context ya usalama wa taifa kukosa kujua nini kinaendelea na ku project nini kitatokea, lakini ukiangalia zaidi utaona ni failure ya usalama wa taifa zaidi kwa sababu ina correlation na food security.
Njaa ni mafuta yanayosubiri cheche tu kulipuka na kutoa vurugu.Usalama wa taifa .
The Roman poet Juvenal was no fool when he said "food and circuses" as the ultimate tools of pacifying the hoi polloi. Trouble is, we are not getting even the bread, much less any worthy circus!
The Arab spring in Egypt was caused as much by Mubarak's oppressive regime as by the rise in the price of bread, a staple there. I can remember the exact day I was reading a NYT article about the rise of the price of bread in Egypt and concluding that it was only a matter of time before something momentous was going to happen there. And this was before the Tunisian vegggie vendor suicide.
Njaa inaleta vishawishi hata mwananchi ahujumu nchi yake mwenyewe. Usalama wa taifa. Angalia Mali huko hajulikani nani raia nani Al-Qaeda, njaa tu hiyo.
You cannot talk about addressing national security if you cannot address food security.
Ndiyo maana nau indict "Usalama wa Taifa" kwa kushindwa kudhibiti njaa tu nchini. Je ukishindwa kudhibiti njaa tu nchini, utaweza kudhibiti Chinese, American and Iranian hackers wasiingilie computers za Ikulu?
Ikulu inatumia Yahoo emails, Yahoo hata hawatumii https, wanatumia http!
Usalama wa taifa unajua tofauti ya http na https?
Huwa nikisikia neno usalama wa taifa mara zote nahisi ni watu wabaya (people with bad concern) na sijui ni kwa nini.
2015 tunahitaji presdaa atakayekuja kurekebisha haya yote. Tumejishau sana kwa kweli
Putin calls internet a 'CIA project' renewing fears of web breakup | World news | The Guardian
Wakati rais Putin anakwambia internet ni project ya CIA (technically correct, the ARPANET was funded by The US Department of Defense) na hivyo anataka kila kampuni inayofanya biashara Russia naku save habari za Warusi I save habari hizo katika servers zilizo Russia tu, sisi Ikulu yetu inawapa habari zetu wenyewe Wamarekani kwa kutumia Yahoo.