Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother, ndege ya kivita inatua ktk ardhi yetu inaiba wanyama bila kujulikana alafu unasema idara ipo vizuri?Idara ya usalama ya Tanzania ipo imara sana kuliko watu wanavyofikiri,
Tatizo la hapa nchini ni sheria tu inayoinyima mamlaka kamili idara hii,
Hatua hiyo inapelekea watawala/wanasiasa kupuuza ushauri mwingi unaotolewa na idara hii kama sheria inavyotaka na kujiwekea matakwa yao wanasia hawa.
Itasaidia kuwafanya watu waamke usingizini na kuwa makini zaidi.Kenya kuivunja intelijensia yao kwa sababu ya lile tukio ni kuionea tuu.
matukio kama yale huandaliwa na ma'experts. America yenyewe pamoja na kuwa na intelijensi ya kutisha lakini ilipokea kichapo septembeer 11.
kuhusu huku kwetu..mmh!!...hadi naona aibu.
Inawezekana wana usalama walishajua mchoro mzima...Issue ni 'wanasiasa' na sheria za nchi kuitumia vibaya idara hiyo.Brother, ndege ya kivita inatua ktk ardhi yetu inaiba wanyama bila kujulikana alafu unasema idara ipo vizuri?
matukio ya mabomu yanatokea katika mkoa mmoja yanapishana mwezi tuu?
fikiria tena.
Brother, ndege ya kivita inatua ktk ardhi yetu inaiba wanyama bila kujulikana alafu unasema idara ipo vizuri?
matukio ya mabomu yanatokea katika mkoa mmoja yanapishana mwezi tuu?
fikiria tena.
Vipi kuhusu madawa ya kulevya?Idara ipo kamili na ina vitenda kazi imara kabisa,
Hakuna tukio ambalo limewahi kutokea Tanzania bila kuwa kwenye file la TISS kabla ya kutokea kwake, hii ni tangu 2006 ilipohuishwa sheria mpya ya TISS
Tatizo la idara TISS ni sheria tu na wanasiasa!
Vipi kuhusu madawa ya kulevya?
Exactly!Idara ya ujasusi inatakiwa kuwa Pro-active na sio reactive kama FFU.
Hv bongo n nan asiye mchambuz???? maana kila moja anakurupuka na kutoa uchambuz sholow kwenye mamb ya kitaalamu kabisa?
naomba kuuliza swali dogo sana...
kuna yeyote kati yenu anayeweza kuniambia nini kilipelekea kifo cha yule mmiliki wa mahoteli na vitega uchumi kibao (JB belmonte)...mnaijua sababu yake?...
kama huwezi kujua idadi ya nyanya na vitunguu vilivyoko kwenye chakula unachokula na wala hujui vimekatwa katwa ka kutumia nini (kisu,panga, wembe au mundu) maana yake wewe jikoni huwa hufiki na mwisho wako ni sebuleni tu....msiongee sana mambo msiyoyajua...anyway naombeni jibu la swali langu hapo juu
mkuu lakin lazima ujue mawaziri si watendaji ni wasimamizi tu wa sera za serikali kwaiyo hapa swala la msingi ni kwann mkurugenzi haripoti kwa waziri
Naunga hoja Mkono.......Taasisi ipewe meno..........wanasiasa na watawala ndio watoe ushauri kwa Taasisi...........
Mkuu hiyo ndiyo moja ya kazi yao hasa Rais kama hatakuwa mzalendo kwa maana ya kulinda maslahi ya Taifa lake...... Taasisi itakuwa inamonitoring utendaji wa Viongozi kwa upande fulani........Nakubaliana nawe pia watakao kuwa kwenye Taasisi ni lazima wawe tayari kupoteza familia zao kwa ajili ya taifa na siyo kama ifanyavyo sasa kurithishana........hata kama mtu ana mambo na malengo yake kichwani........Taasisi ni lazima ipendekeze nani? awe Mkuu wa Nchi........Katika kuipa "meno" ni lazima kuwe na uweled na mipango yakinifu, unaweza kuipa meno ikawa na uwezo wakumuondoa rais (kupindua nchi) kirahisi sana.