Nadharia yangu namba sita kwanini Mungu kamuumba binadamu juu ya uso wa dunia

Hebu jaribu kutafakari,

Mungu alimuumba shetani uko mbinguni
Afu akiwa mbinguni, shetani akamsaliti Mungu
Mungu anamfukuza mbinguni na kumtupia duniani tunakoishi sisi binadamu.
Anatupa jukumu la kumshinda shetani na tukishindwana nae atatuchoma Moto WA milele.

IS THIS FAIR?
 
Tatizo la binadamu ni mbishi sana.
Dhana ya dini na spiritual matters ni kujua kuwa kuna force inayotuleta sisi pamoja na kila kitu kinacho exist. Hizo tofauti ni kutokana na watu kuwa na nadharia au tofauti za kidini na kuamini ni kutokana na perspective ambazo kila culture inaamini kutokana na mababu walivyoona na mazingira pia yanachangia. So in hindsight wote wako sawa.
 
Hiyo Mungu mwenyewe hujathibitisha yupo.
 
Fact
 
Fact
 
Kuthibitisha ni nini?

Wewe unayesema umethibitisha ndiye unatakiwa utuambie kuthibitisha ni nini.

Wewe unayesema umethibitisha umethibitishaje kwamba umethibitisha?

Kuthibitisha ni nini?
 
Haya maandiko huwez hata kunaliza kusoma manake ni kumkufuru tu yani
 
Wewe unayesema umethibitisha ndiye unatakiwa utuambie kuthibitisha ni nini.

Wewe unayesema umethibitisha umethibitishaje kwamba umethibitisha?

Kuthibitisha ni nini?
Nimethihitisha uwepo wa Mungu kwa kutumia logic
 
Tatizo kuna wanaolazilisha kuwa wengine hawako sahihi kwa maana hiyo hawatauona ufalme wa Mungu.
 
Mkuu umeongea point ambazo nimekuwa nazifikilia Kwa muda, naomba ukipata muda fanya muendelezo, hongera sana...
 
Mkuu umeongea point ambazo nimekuwa nazifikilia Kwa muda, naomba ukipata muda fanya muendelezo, hongera sana...
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Why seven? Why not 8 or 6? Kwanini ume ni limit lazima ziwe saba? .
Ndiyo maana nikasema hujui uthibitisho ni nini.

Ndiyo maana hata hujui kuwa kuna nguzo saba za uthibitisho.

Ulichofanya hapo ni kama vile umesema wewe ni Muislamu, halafu nakuuliza unitajie nguzo tano za Uislamu, halafu unaniuliza kwa nini nguzo tano si sita wala nne?

Kwa swali hilo tu ushajionesha huujui Uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…