LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #41
Swali hili umeniuliza mara nyingi na mimi nimekua nikikujibu kwa kukuuliza " Unataka nitumie which standard of proof " kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa sababu zipo several standard s of proof ambazo hutumika kuthibitisha masuala mbalimbaliNdiyo maana nikasema hujui uthibitisho ni nini.
Hapa mkuu umeonyesha wewe u mtumwa wa mawazo ya watu wengine ndio maana na wewe una repeat wazo la watu wengine kwamba kuna nguzo saba za uthibitisho. As a free thinker ulipaswa uongeze na za kwako au useme ipo Mojave tu au zipo tatu. Ninacho gomba mimi ni kwanini ung'ang'anie kusema zipo nguzo saba?Ndiyo maana hata hujui kuwa kuna nguzo saba za uthibitisho.
Kwa mwingine anaweza kukwamnia anazijua tatu, Mfano: Authenticity, Veracity and Accuracy. Mwingine anaweza kuwa nazo ishirini
Ulichofanya hapo ni kama vile umesema wewe ni Muislamu, halafu nakuuliza unitajie nguzo tano za Uislamu, halafu unaniuliza kwa nini nguzo tano si sita wala nne?
Kwa swali hilo tu ushajionesha huujui Uislamu.