Nadharia yangu namba sita kwanini Mungu kamuumba binadamu juu ya uso wa dunia

Ndiyo maana nikasema hujui uthibitisho ni nini.
Swali hili umeniuliza mara nyingi na mimi nimekua nikikujibu kwa kukuuliza " Unataka nitumie which standard of proof " kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa sababu zipo several standard s of proof ambazo hutumika kuthibitisha masuala mbalimbali
Ndiyo maana hata hujui kuwa kuna nguzo saba za uthibitisho.
Hapa mkuu umeonyesha wewe u mtumwa wa mawazo ya watu wengine ndio maana na wewe una repeat wazo la watu wengine kwamba kuna nguzo saba za uthibitisho. As a free thinker ulipaswa uongeze na za kwako au useme ipo Mojave tu au zipo tatu. Ninacho gomba mimi ni kwanini ung'ang'anie kusema zipo nguzo saba?

Kwa mwingine anaweza kukwamnia anazijua tatu, Mfano: Authenticity, Veracity and Accuracy. Mwingine anaweza kuwa nazo ishirini
Ulichofanya hapo ni kama vile umesema wewe ni Muislamu, halafu nakuuliza unitajie nguzo tano za Uislamu, halafu unaniuliza kwa nini nguzo tano si sita wala nne?

Kwa swali hilo tu ushajionesha huujui Uislamu.
 
Mchungaji Rusekelo Yesu sio Mungu
Mchungaji Peter Yesu Mungu
Mchungaji John Mungu wapo 3
Mchungaji Ndacha Mungu sio 3
Mchungaji Paulo Yesu mtoto wa Mungu

Madhara ya hayo yote ndio hayo watu wameamua kutafuta njia zao huku wakiwa wapo humo humo katika ukafiri

Wewe ambaye ni Muislam mshukuru sana Mungu Kwa kukuonyesha njia sahihi

Chukua waislam Dunia mzima waulize Muhammad ni nani na Allah ni nani utapata jibu Moja tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hujathibotisha Mungu yupo kwa standard yoyote yenye mantiki isiyopingika.

Ukinibishia weka link hapa ya sehemu ulipothibitisha tuuchambue uthibitisho wako.

Ukishindwa kuweka link nakuona si tu hujathibitisha, bali pia ni muongo.
 
Hujathibotisha Mungu yupo kwa standard yoyote yenye mantiki isiyopingika.

Ukinibishia weka link hapa ya sehemu ulipothibitisha tuuchambue uthibitisho wako.

Ukishindwa kuweka link nakuona si tu hujathibitisha, bali pia ni muongo.
Kitu gani kinafanya uone Mungu hayupo
 
Nimekutaka unioneshe ulipithibitisha Mungu yupo, usibadili maongezi.

Weka link hapa.
Why link? Kwanini usiniambie nithibitishe kuhusu uwepo wa Mungu kutumia logic? Kwa kutumia mawazo yangu mwenyewe na sio mawazo ya watu wengine?

Ukitaka nikupe link sintoweza lakini ukitaka nitumie logic na akili yangu mwenyewe naweza kuthibitisha kuhusu uwepo wa Mungu pasi na shaka yoyote.
 
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Hii ni Mwanzo 1:26
Lengo kuu la Mungu baada tu yakuumba kila kitu ulimwenguni(Duniani),Akafikiria kuumba Kiumbe(Mtu) wakuvitawala.

Baada ya majadiliano hayo kuumba mtu wakutawala,Mtu aliumbwa nakweli alimpa mamlaka yakuvitawala vyote vilivyopo,Soma Mwanzo 1:28

Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.


Kwa mistari hiyo miwili naoana kanisa sisi tumeumbwa kuwa MAWAKILI WA MALI AMBAZO MUNGU MWENYEWE AMEZIUMBA PAMOJA NASISI WENYEWE
 
Sababu ni nini?
Tuko duniani kujifunza tu.
Ni hivi,mwanadamu ni muunganiko wa vitu vitatu( Roho,nafsi na mwili).Roho umaanisha ufahamu,nafsi utambulisho na mwili ndo hii minyama nyama.
Roho(Ufahamu)huweza kuwa katika hali mbili(hali kamili na hali isoyo kamili).
Ili roho( ufahamu) uweze kufikia ukamilifu wake ni lazima ipite kujifunza katika "REALM"/worlds/dunia mbali mbali.
Kila realm/dunia ina sifa zake na sisi ambao tunaitwa binadamu tupo dunia/realm ya tano.
Kwa kuwa binadamu ni roho,nafsi na mwili,ili tuweze kufika katika dunia hii ni lazima roho zetu zivae miili japo kiasili sisi sio miili,sisi mi roho.
Mchakato wa roho kuvaa mwili huitwa UMWILISHO/ INCARNATION na nyakati pekee ambapo swala hili huweza kutokea ni pindi wanadamu wanapofanya mapenzi.
Hivyo basi sex huwezesha mchakato wa utengenezaji mwili kuanza pindi mbegu na yai vinapokitana,na baada ya mchakato huo kuanza ndipo roho huenda na kuuvaa mwili huo na baada ya mchakato huo kukamilika ndipo mwanadamu huzaliwa.
Hii ni kusema kwamba" kuzaliana sio lengo la sisi kuja duniani ila ni njia tu ya kutuleta duniani"
Ifahamike ya kuwa roho( ufahamu) huitaji kuja duniani ili kukamilisha safari yake ya kujikamilisha.
Kwa kifupi itoshe kusema tu kuwa dunia ni kama darasa ambalo roho hupita kujifunza.Roho zitakazofaulu zitaendelea na safari na zitakazofeli zitaendelea kurudi mbaka siku zitakapofaulu.
 
Umesema umethibitisha.

Weka link ya hiyo post uliyothibitisha.

Why are you so dense?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…