Naelekea Kenya Ijumaa, anayetaka lifti!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Wakenya wanaotaka kurudi kwao wanaweza kuwasiliana nami, naanzia Dar, hivyo kama uko hayo maeneo na ungependa ride ya kurudi home nijulishe, kama uko Moshi, Arusha mpaka Namanga kama bado nafasi zipo nitakuchukuwa pia!

Naanza safari Ijumaa hii, saa 11 alfajiri napita Ubungo, hakuna malipo ila chakula na hela ya choo juu yako!

Nina VW Sharan ya bluu, Ubungo Kituo cha Mabasi, ...
 
Wabongo bhana hatuaminiani ata kidogo
 
wanataman rifti..tatzo hujasema kama humo njiani utawalisha pia au laaa.....vyuma baba!!!!
 
Beba mguu wa kuku anko hao majitu yanaweza kukubadilikia yakakupora hata kukutoa roho ...usiwachukulie ka watu hao bora ubebe msomali sio mkenya anda all the best kwa safar bt jihadhali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…