Naelekea Pemba, naombeni uzoefu wa kimazingira

Meli zipo, kuna Sea link, AKRAM kama sikosei, ila huko unapoeenda nyege zako acha nyumbani ukirudi utazikuta ukipuuza utarudi ukiwa chizi au kama wakiume utarudi ukiwa na mimba, hapo ndo ujiulize inawezekanaje. Tofauti na hapo jamaa ni waaminifu mnoooo hata ukisahau hela dukani kwa mtu au mahali ambako kuna watu utarudi na utaikuta
 
[emoji23]
 
Kama ww si muislamu na haufungi subiri mwezi uishe..
Ukikutwa unakunywa hata utachapwa bakora hadharani
 
Wewe nenda tu, upate yako sio ya kuambiwa
 
naomba fafanua kidogo mkuu, ugumu wa kupata ushirikiano unatokana na nini?
Kila muda wa sala ukiwa na watu kama wewe siyo muislam, utaachwa hapo wanaenda kusali. Jamaa hawachelewi hata sekunde. All in all jamaa ni watu wazuri sana. Ila kama walivyokushauri mambo ya mapenzi kule ni mpaka uoe na kuoa ni rahisi tu
 
Pemba wote wanajuana, mgeni unajulikana tu.
Usitongoze tongoze ovyo(muhim sana). Wengi wana mdudu anatoa taarifa kwa ndugu utaijiwa kuadhibiwa au kuozeshwa.
Kuna hadi fumanizi za kupangwa!
Binti, mke,na bibi wanafanana kwa sabab ya maumbo, uvaaji na salaam, hivyo usisimamishe holela jinsia ya kike sehem za wazi hata kama unaulizia huduma za kijamii. Tumia wanaume.
Penda kutembea na mwenyeji.
Vaa kwa namna ambayo dini yako haitatanabaishwa haraka endapo we si muisram.
....................karibu Gando
 
Ngoja waje kukupa mwongozo.
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
 
Mkuu mbona unaweka marinda yako rehani?
 
Chogo karibu Pemba huku ramadhani kama hufungi basi ule ndani tusikuone
 
Choo na bafu zao zinaangalia mbinguni, ngoja niishie hapo.
 
Ahsante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…