Sawa mkuu, ahsante sanaPemba wote wanajuana, mgeni unajulikana tu.
Usitongoze tongoze ovyo(muhim sana). Wengi wana mdudu anatoa taarifa kwa ndugu utaijiwa kuadhibiwa au kuozeshwa.
Kuna hadi fumanizi za kupangwa!
Binti, mke,na bibi wanafanana kwa sabab ya maumbo, uvaaji na salaam, hivyo usisimamishe holela jinsia ya kike sehem za wazi hata kama unaulizia huduma za kijamii. Tumia wanaume.
Penda kutembea na mwenyeji.
Vaa kwa namna ambayo dini yako haitatanabaishwa haraka endapo we si muisram.
....................karibu Gando
Ahsanteni sanaPemba;
1. Uislam na tamaduni za kijima zimetawala sana kwani Elimu ya kisekula iko duni sana.
2. Umaskini ni mkubwa sana. Kule watu kutembea pekua ni kawaida(barefoot).
3. Urban culture the way ilivyo bara au unguja kule haipo kabisa.
4. Ubaguzi. Wapemba ni wabaguzi sana kwa wageni haijalishi ni muislam mwenzao. Ubaguzi huu unauona hata kwenye manunuzi. Bidhaa ambayo Mpemba anauziwa buku, mgeni utauziwa ef 5. Ila nimeambiwa kuna supermarket imefunguliwa last month.
5. Heshimu na weka mipaka na wake za watu kule. Wapemba reaction yao ni harsh hata kwa kitu ambacho huku bara huonekana ni kidogo.
6. Usafiri Tanga to Pemba, upo mwingi.
Kwa ujumla, PANAISHIKA.
Ndugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, tamaduni zao, nini cha kufanya/kutofanya ukiwa huko na kila kitu muhimu.
Ww unaona utani ila amini nakwambia mengi waliyokushauri ni ukweli mtupu, issue ya kurogwa, salamu nkNdugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, tamaduni zao, nini cha kufanya/kutofanya ukiwa huko na kila kitu muhimu.
Alikwambia anayo?Mkuu mbona unaweka marinda yako rehani?
Mkuu usiwe na wasiwasi, pemba ni kuzuri n watu wake ni wakarimu sana na wataratibu.Ndugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, tamaduni zao, nini cha kufanya/kutofanya ukiwa huko na kila kitu muhimu.
Di ndio hayo unayoambiwa hapo au hutaki? Kama wewe sio kijana wa muddy jiandae kupata shida huko hasa hasa kama unaenda wakati huu wa mfungu.Ndugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, tamaduni zao, nini cha kufanya/kutofanya ukiwa huko na kila kitu muhimu.
Wanasoko sana hao viumbeHivi jongoo wana ruhusiwa kuvuliwa siku hizi ...
Ova
Kuna Zanzibar 3 inasafari baina ya Pembeni na TangaHabarini ndugu watanzania.
Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu kuvifahamu kwa mtu ambaye si mwenyeji wa huko.
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna ferry ambazo zinatoka Tanga direct to Pemba.
Ahsanteni.
Hii hii pesa tunayoiamgaikia? MdanganyeMeli zipo, kuna Sea link, AKRAM kama sikosei, ila huko unapoeenda nyege zako acha nyumbani ukirudi utazikuta ukipuuza utarudi ukiwa chizi au kama wakiume utarudi ukiwa na mimba, hapo ndo ujiulize inawezekanaje. Tofauti na hapo jamaa ni waaminifu mnoooo hata ukisahau hela dukani kwa mtu au mahali ambako kuna watu utarudi na utaikuta
Mashoga ni wengi huko kua makini sio kila mwanaume unae kutana nae njiani ni mwanaume wengine ni mabinti wa kiume
Toa keleleficha ujinga wako
[emoji706]Kilichosalia sasa naombeni kupata majina ya hotel zilizopo Pemba kwa budget isiyozidi 150,000 kwa siku.