Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja
Nitamtaka achague moja kati ya haya:
(a) Aingie mtaani na boda boda, awe ananiletea hesabu ya 10k kwa siku, au
(b) Achukue vyeti vyangu, kisha akasotee kazi mwezi mzima
Mimi nitakuwa pale kwa ofisi yake nimekunja nne huku napulizwa na kiyoyozi nikimngoja aje tuzungumze lugha moja
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu
Mniombee nisivunjwe miguu pale getini