Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja

Nitamtaka achague moja kati ya haya:

(a) Aingie mtaani na boda boda, awe ananiletea hesabu ya 10k kwa siku, au

(b) Achukue vyeti vyangu, kisha akasotee kazi mwezi mzima

Mimi nitakuwa pale kwa ofisi yake nimekunja nne huku napulizwa na kiyoyozi nikimngoja aje tuzungumze lugha moja

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu

Mniombee nisivunjwe miguu pale getini
 
Nenda kamanda nenda ukatuokoe maana bangi uliyovuta ukidhani ni chai itakusanua huko ICU za muhimbili.
 
Unataka kutueleza kwamba kazi ya bodaboda ni mbaya kama watuambiavyo wengine?Mbona CCM wanakataa?Wanasema ni njema ile mbaya.Subiri ule ubwabwa wa Eid ndiyo umfuate ukiwa na nguvu mkuu.Penda miguu yako,acha uchokozi!
 
Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja

Nitamtaka achague moja kati ya haya:

(a) Aingie mtaani na boda boda, awe ananiletea hesabu ya 10k kwa siku, au

(b) Achukue vyeti vyangu, kisha akasotee kazi mwezi mzima

Mimi nitakuwa pale kwa ofisi yake nimekunja nne huku napulizwa na kiyoyozi nikimngoja aje tuzungumze lugha moja

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu

Mniombee nisivunjwe miguu pale getini
Unamfuata waziri wapi? Dar, Dodoma au jimboni kwake.

Mawaziri janjajanja, anaweza kuwepo Zanzibar anakula raha, Dodoma wanajua yuko Dar, Dar wanajua yuko jimboni kwake
 
Nimekuelewa mkuu, hawajamaa wakisha pata vyeo huwa wanasahau kilicho waweka ofisini, huropoka ropoka tu vitu ili wazidi kujinufaisha wao wakati upande wa pili tukiumia, kama yule mzembe wa kufikiri aliyependekeza mafuta yaongezwe bei.

Tozo na makato yaliyowekwa kwenye mafuta,umeme na miamala haoni vinatosha pamoja na tozo zote hizo bado kukopa mikopo mikubwa kupo,zaidi ya yote michango kibao mashule ya serikali,kuhamasishwa kujenga shule, maospitali bila kujali tozo walizo tutwisha na Kodi nyingiii zisizo onyesha tija yoyote zaidi ya kuongezwa ongezwa kila kukicha.

Tuliona vitu vikiwezekana bila kuumizwa awamu ya tano, japo yapo yaliyo tukera pia ikiwa udikteta ila mambo yalienda Kwa kasi sana ndani ya miaka mitano tu. Sibirini Watanzania waamke katika usingizi wa kuonewa.
 
Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja

Nitamtaka achague moja kati ya haya:

(a) Aingie mtaani na boda boda, awe ananiletea hesabu ya 10k kwa siku, au

(b) Achukue vyeti vyangu, kisha akasotee kazi mwezi mzima

Mimi nitakuwa pale kwa ofisi yake nimekunja nne huku napulizwa na kiyoyozi nikimngoja aje tuzungumze lugha moja

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu

Mniombee nisivunjwe miguu pale getini
msamehe bure tu ....wabunge wengi wakivimbiwa posho huamua kuropoka...
 
Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja

Nitamtaka achague moja kati ya haya:

(a) Aingie mtaani na boda boda, awe ananiletea hesabu ya 10k kwa siku, au

(b) Achukue vyeti vyangu, kisha akasotee kazi mwezi mzima

Mimi nitakuwa pale kwa ofisi yake nimekunja nne huku napulizwa na kiyoyozi nikimngoja aje tuzungumze lugha moja

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu

Mniombee nisivunjwe miguu pale getini
Bodaboda ni kazi za wananchi wazalendo ndiyo sababu zikianza kampeni tunawakopesha vijana.
 
Back
Top Bottom