Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Unamfuata waziri wapi? Dar, Dodoma au jimboni kwake.Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja
Nitamtaka achague moja kati ya haya:
(a) Aingie mtaani na boda boda, awe ananiletea hesabu ya 10k kwa siku, au
(b) Achukue vyeti vyangu, kisha akasotee kazi mwezi mzima
Mimi nitakuwa pale kwa ofisi yake nimekunja nne huku napulizwa na kiyoyozi nikimngoja aje tuzungumze lugha moja
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu
Mniombee nisivunjwe miguu pale getini
Nipeni maua yangu niyanuse angali niko haiVivaaaaaaa
msamehe bure tu ....wabunge wengi wakivimbiwa posho huamua kuropoka...Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja
Nitamtaka achague moja kati ya haya:
(a) Aingie mtaani na boda boda, awe ananiletea hesabu ya 10k kwa siku, au
(b) Achukue vyeti vyangu, kisha akasotee kazi mwezi mzima
Mimi nitakuwa pale kwa ofisi yake nimekunja nne huku napulizwa na kiyoyozi nikimngoja aje tuzungumze lugha moja
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu
Mniombee nisivunjwe miguu pale getini
Hamna kitu kama hikiUvunjwe taya kisha ulete mrejesho kuwa unaacha pombe!
Bodaboda ni kazi za wananchi wazalendo ndiyo sababu zikianza kampeni tunawakopesha vijana.Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja